Nilikuwa mkereketwa wa mageuzi miaka hiyo na ni kweli kwamba kuna kura aliziongeza 1995 kwa sababu rekodi yake lakini bado haijatosha kumpa taji kwenye jukwaa la upinzani. Mchango wake haushikiki kama ambavyo kila mmoja anajua mchango wake serikalini e.g sare za daladala, police posts, ulinzi shirikishi, mabasi kutotembea usiku, majambazi kusalimisha silaha, kuponya ndoa n,k
Kwenye ubunge Vunjo inawezekana umaarufu wake ama ombi lake kwa CCM lilizikilizwa. Ni moja ya majimbo ambayo hayakuhitaji FFU wala maandamano ili matokeo yatangazwe. Likewise kwenye Kamati ya Bunge, kama utakumbuka hii kamati inashikwa na upinzani kwa hiyo hakugombea na mwana-CCM hivyo uwezekano wa CCM kumpigia ili wawakomoe CDM ni mkubwa.
Augustine Mrema TLP 30,810
Chrispin Meela CCM 17,498
John Mrema Chadema 6,558
Lyimo wa NLD kura 811
Ana nafasi ya mwisho kutuonyesha makali ya kwa kuzisimamia hesabu za local government hakuna haja ya kumvika kiremba bado mapema.
Mwaka 2008 Mzee wa Kiraracha tulimuongea sana hapa
BongoCelebrity » Blog Archive » YUKO WAPI LYATONGA?