August Alsina na Jada Pinket Kunani?

Noma sana....hiyo picha ya juzi kati

Mama Jada ana almost 67 or 8 lkn mcheki afuu ana kiserengeti boy na anapiga gym ya hatare



Oh my, wanaonekana kama wamelingana tu.

Na Kiserengeti boy juu!, halafu wenzetu vile wana mind their own business wala sio tatizo kwao. Ana enjoy tu mwenyewe maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…