Audio-Ruge kuhusu Sugu

mh.sugu acha aitwe SUGU jamaa kweli ni moto chini.....wanamuita sugu .....naniiiii...ni sugu sugu suguuuuuuuu
 
Hii mistari umeikariri wewe! <br />
<br />
Na Sugu hana lolote huyo. Aache kuwa na gubu. Tabia gani hiyo ya kupeleka bifu za uraiani mjengoni?
mkuu umekuja kuwaje mbona sikuhisi unakurupuka..binafsi siyo mshabiki wa sugu laki kwenye swala hili sugu yuko sahihi ndiyo maana rugu anapata shida kulizungumzia..raisi alitoa studio matokeo yake kaanzisha kampuni ili kuhalalisha wizi wake, wasanii wote wanatakiwa wafaidike na studio hiyo maana ilitumika kodi ya watz na siyo jk
 
mh.sugu acha aitwe SUGU jamaa kweli ni moto chini.....wanamuita sugu .....naniiiii...ni sugu sugu suguuuuuuuu
nimemsikiliza akihojiwa na dj tasi wa magic fm yeye, ruge na mwanaFA jamaa inaonekana anajua anachokiongea kuliko wengi wanavyochukulia..ruge amebaki kutapatapa mpaka anasikitisha..sugu anamwambia apeleke sudio basata na si vinginevyo na akumbuke anaongea kama waziri kivuri na siyo kama sugu au msanii..na amemwambia asikimbilie kuzungumzia swala lao binafsi wakati....
 
...kuna mambo kama 70 ya kujibu kabla hawajazungumzia swala lao la malaria..
 
Hii mistari umeikariri wewe!

Na Sugu hana lolote huyo. Aache kuwa na gubu. Tabia gani hiyo ya kupeleka bifu za uraiani mjengoni?
this ain't no freestyle battle all you ni**az gettin' kill*d with your mouth open,tryna come up offa me u in the CLOUDS hopin'...
 
Sikiliza uone Ruge anavyohenyeka kuhusu Ubunge wa Sugu, inaonekana Sugu ana Platform kubwa ya kumuanika Ruge, na ubunge wa Sugu ni kikwazo sana kwa Ruge, anabaki analalamika tu. Download hii track then sikiliza kwa VLC inagonga pouwa sana. Nimeirekodi, ni dk 18.32, ina MB 6.1

http://www.eastafricantube.com/media/62828/Interview-Hando_Vs_Ruge_kuhusu_Sugu/
Joseph Mbilinyi MR SUGU WANANIITA SUGU sawasawa enzi hizo. Sasa hivi anavaa suit havai tena zile kata kei akiwa on da stage ana fanya kazi. Inawezekana kuna utata wa mawasiliano au kuna bifu ambayo sisi hatuijui mbali na ile ya mpango wa kutokomeza malaria. Hata hivyo Waziri kivuli angekwenda mbali zaidi kwa kutuonyesha vithibitisho vivavyoonesha Rugemalila Mutahaba aka RUGE alitumia hayo mamilioni kulipia pango la ofisi ya THT na mambo mengine kama wanavyofanya akina ZITTO,MBOWE SLAA MNYIKA LISSU nk. na kwa vile analindwa na kanuni na katiba angetusaidia sana kuujua ukweli . Uwezo huo anao atafute vielelezo.ni mtu mkubwa sasa hata akienda ofisi za Bunge atapata tu vielelezo.
 
FA anaweza kumpa hizo 40000$ za mastering studio Sugu kama anaitaka sana ili kuilinda heshima ya Sugu maana inapokwenda Sugu anazidi kujidhaulisha mbaya zaidi anawatukanisha watu wa Mbeya mjini waliompa heshima ya kuwa wakilisha wao bungeni.
 
Ni kawaida kwenye jamii kutofautiana kifikra na kimawazo lakini suala linapofikia mahali chuki na jazba kuhatalisha usalama wa watu au kundi,kuna ulazma wa kutafta suluhu.Hawa watu wawili wana nguvu tofauti lakn kila mmoja anajiona ni mbabe kwa mwenzake. Matokeo yake bifu linasambaa kichama,mfano watu wanaomshabikia sugu wanakuwa branded kama CDM na mashabiki wa ruge,clouds wamekuwa branded kama ccm.Ni hatari kwa siku za mbeleni.Mi naona atafutwe msuluhishi atakayezileta pande hz pamoja
 
hii imechosha kabisa na haileti maana tena....
Sugu, Ruge, CLOUDS.....

tupumzisheni na huu upuuzi sasa
 
Ni kawaida kwenye jamii kutofautiana kifikra na kimawazo lakini suala linapofikia mahali chuki na jazba kuhatalisha usalama wa watu au kundi,kuna ulazma wa kutafta suluhu.Hawa watu wawili wana nguvu tofauti lakn kila mmoja anajiona ni mbabe kwa mwenzake. Matokeo yake bifu linasambaa kichama,mfano watu wanaomshabikia sugu wanakuwa branded kama CDM na mashabiki wa ruge,clouds wamekuwa branded kama ccm.Ni hatari kwa siku za mbeleni.Mi naona atafutwe msuluhishi atakayezileta pande hz pamoja
ili kusijue mabaya yao? acha wapelekane...Ruge ajibu hoja za Sugu na huyo mtoto wa kiume anae jichubua aliengilia nae ajibu maana yeye ndiyo kapewa ukurugenzi kwenye hiyo kampuni fake...
 
Wacha waendelee,,,,,,kama sugu anaongea uongo ruge aseme,lakin hata ruge amekiri kuwa sugu amejaribu kuwatetea raia wake it means wasanii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom