Audio-Ruge kuhusu Sugu

Maisha magumu anayopitia mtu humfanya kuwa na hasira hasa hasa ikionekana kuna mtu anajaribu kumuwekea vikwazo,kwa hiyo suala la sugu haliwezi kuisha kiurahisi kihivyo,ugomvi wao umeanzia mbali,na sana sana kama Ruge asipotumia akili ataadhirika zaidi na huo ugomvi.coz kuna watu wengi sana wanamsopoti sugu kuliko Ruge
 
Wasuhuluhishwe kwa lipi? kwa sababu gani? ili iweje? Mbona mnageuza jamvi hili kuwa ni jamvi la wageni?
 
ili kusijue mabaya yao? acha wapelekane...Ruge ajibu hoja za Sugu na huyo mtoto wa kiume anae jichubua aliengilia nae ajibu maana yeye ndiyo kapewa ukurugenzi kwenye hiyo kampuni fake...
Huyu bwana mdogo aliyehama EC kuna tetesi la muda mrefu huwa anakamatishwa bati.
 
JF iache kushabikia upande mmoja. watu waachiwe watoe mawazo yao kwa uhuru na wala siyo kuzuiwa eti kwa sababu hawakubaliani na baadhi ya upuuzi humu ndani. Niliandika mawazo yangu juu ya sakata hili lakini baada ya muda mawazo hayo yakaondolewa kwa kuwa sikukubaliana na huyo SUGU.

Kwa staili hii inaweza pelekea jukwaa hili kuanza kupoteza mvuto kama CCM
 
Time to let go of this nonsese. Cookie where you at? Come put a padlock on this baby.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom