AUDIO: Nilichokisema Jana Makutano na Fina Mango!

Kigwangala ni very cheap politician. namlaumu Kikwete kwa kufanya kazi ya urais ionekane kila mtu anaweza.
 
mie nilishauliza hapa mh....hivi lowassa anasifa gani au record ya jambo gani kama akina magufuli au mwakyembe ya kumwezesha kuwa rais wa nchi hii..hakuna mwenye jibu badala yake wanaomshabikia ni watoto wa matajiri na wafanyabiashara wenzake
 
Namesubiri sana Dr.HKigwangalla, aanze shuka vitu naona ka hibernate kabisa.Nadhani niachane na hii thread.Ingekuwa ni Dr. Slaa hapa kila swali lingejibiwa bila hata woga, tena majibu mengine ni ya maswali ya waliyouliza watoto kwa kebehi nyingi.

NAsikitika huyu jamaa kaamua chukua route ya Nape,mwigulu, Zitto and the sort...Nilitegemea yale maandalizi ya interview aliyofanya bado hayajapotea na amekuja clarify, sasa kumbe km nilivyosem alichoniudhi nii kujiandikia habari zake na kuzipromote nilikuwa sahihi ktk hisia za mwanzo.
 
We mtoto mdogo sana kwa Lowasa. Mwenzako ameanza siasa wewe unafundishwa arif be te ke madrasa. Utaumia dogo ukijifanya kupimishana ubavu naye. We lete vululu vululu zako tu home kama hajakupoteza kwenye siasa.

Mrs mwigulu, lowasa hasafishiki hata kwa blich.swalala lowasa kuwa rais halitatokea.ni mwizi, fisadi, jambazi, mnafiki, muongo, mzinzi na mdini mkubwa.hatumtaki lowasa
 
MwanaCCM mwandamizi kujaribu kumpinga hadharani Lowassa basi uwe umejiandaa la sivyo cha moto utakiona tu.

Inabidi kwanza umuulize Mwakyembe nini kilimnyonyoa Ngozi na nywele, halafu uje kwa Sitta umuulize ni lini atakwenda kufanya operation ya kubadili jinsia na mwisho uje kwa Nape umuulize msamiati wa Magamba ni lini aliufuta kwenye kamusi yake?

Yule mmasai ameifanya CCM kuwa kama kichaka chake cha kuendea haja kub...

Mkuu dah umesema kitu, nape walimziba mdomo na operation ya kuvuana magamba. Hahaha mpaka sasa ccm wanaitwa magamba. Hahaha
 
Mbona hujazungumzia suala la kutumia vyeti mtu..we si hamisi bagaile wewe
 
We mtoto mdogo sana kwa Lowasa. Mwenzako ameanza siasa wewe unafundishwa arif be te ke madrasa. Utaumia dogo ukijifanya kupimishana ubavu naye. We lete vululu vululu zako tu uone kama hajakupoteza kwenye siasa.

Alif Be Te T'hee au ukikumbuka neno Alphabet tu inatosha, hilo neno limetokana na hayo matamshi ya harufu tatu za mwanzo za Kiarabu.
 
Sitampa kura yangu Edward Lowassa - Dk Hamis Kigwangalla - wavuti.com

Jana nilialikwa na dada yangu Fina wa Mango kwenye show yake adhimu ya Makutano na Fina Mango. Nianze kwa kumshukuru dada Fina na timu yake kwa kazi nzuri wanayofanya. Nimshukuru pia Ndg. Uswege Mwaipyana (my Twitter friend) kwa kupendekeza nialikwe na Fina kwenye show, baada ya yeye (Uswege) kufuatilia ile iliyopita Jumamosi iliyotangulia na kuona ingependeza kama nami ningealikwa.

Niliongelea mambo mengi ikiwemo historia yangu ya utoto na nilivyougua kwashiakor na marasmus na kuponea chupuchupu kufariki dunia kijijini Goweko, Mlimani kwa babu yangu, elimu yangu na uzoefu wangu kwenye uongozi kwenye taasisi mbalimbali nilizopitia. Niliongelea mapinduzi ya kilimo cha Pamba na Alizeti Nzega ambayo ninayaongoza na pia ndoto zangu za Urais, utendaji wa Rais Kikwete na pia hatma ya Taifa letu kwenye mchakato wa kumpata Rais mpya 2015. Dada Fina Mango aliniuliza swali moja lililohusisha Urais 2015 na Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb.) ambaye anatajwa tajwa kuwa huenda akawemo among presidential contenders watarajiwa.

Majibu yangu yote yalijikita, kama ilivyo kawaida yangu, kwenye ukweli na kwenye tafsiri sahihi ya kimantiki inayotokana na uelewa na utashi wangu. Ni kweli nilisema kuwa endapo itatokea Mhe. Edward Lowassa akagombea Urais kweli sintompa kura yangu, sikutafuna maneno, na wala sina chuki ama uadui naye, na nilisema ametenda mengi mazuri na nilisifia ujasiri na umahiri wake kabla ya suala la Richmond, naam kabla ya Richmond saga, niligusia dedication yake, lakini nilihitimisha kwa kusema kuwa kwa zama hizi siwezi kumuunga mkono. Alipofikia panatosha. Naam, panatosha.

Kwa kuwa kuna script ya nilichokiongea, acha nikiweke wazi hapa ili wenye kupenda kufuatilia suala hili wajisikilizie wenyewe.
Huenda bado unaumwa au matatizo ya ubongo '''' Lowasa ametiwa hatiani na mahakama ipi '''' we ka mbunge hujui maana ya uwajibikaji '''' kwa taarifa yako huyo ndiye rais ajaye ''' linganisha utendaji wake na shule za spid yake '''' wengine longolongo tu.
 
HKigwangalla pole kwa haya yaliyokukuta,ushabiki ni mbaya kaka yangu ulitegemea kupima upepo ukoje naona sasa umejua upepo wa EL,ulidhani JF watakusifia kwa vimbwanga ulivyofanya lakini mimi mwana ccm mwenzako hadi naona aibu kusoma hizi threads Na comment kwa jinsi ulivyopakwa ni Aibu kwa mbunge kijana kama wewe kujidhalilisha hadharani hivi.

Membe anakulipa kiasi gani?

Mshukuru mama salma kwa Wama ndio ilikuonesha dira ya wewe kuitwa mbunge kwa kuwa mama alikubeba live kunyofolewa kutoka mtu wa3 hadi kupewa ubunge kwa hapa lazima ulipe fadhila kwa kumuunga mkono Maembe na familia ya Kikwete kwa kuwa wajua Jimboni hurudi safari hiii..

Watu wanajua jinsi ulivyo kiazi hata wana nzega wanajua...KAMA ULIWEZA KUMPIGA YULE MZEE BATOBELA KWENYE KIKAO CHA HALMASHAURI UTASHINDWA VIPI KUMTUKANA LOWASSA?Una kazi kubwa sana wewe na ccj,maembe,na mama salma 2015:confused:
 
Last edited by a moderator:
Binadamu yeyote ambaye mishipa ya aibu ilishaharibika haoni aibu kuzungumza mambo ya hovyo. Huyu bwana tangu nimfahamu kupitia kwenye mitandao sijawahi kuona suala lolote analizungumzia ambalo ni constructive, lakini yeye huwa anazungumza tu. Yaani Huyu bwana ni hopeless na hafai. Kwa lugha nyepesi ni mpuuzi. Elimu yake yenyewe ya kuchakachua, eti Dr. Shame on you pimbi. Come 2015 I will never see you again, problem the only place to see you will be in Segerea, paying back what you have reaped through stealing our poor Tanzania. Tax evasion through bogus company is your norm. Sasa kupitia Uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali Za Mitaa anakusanya fedha Za RUSHWA. Aje apinge hapa niweke vielelezo hapa. Wapuuzi hawa tusiwape nafasi wala kuwachekea.
 
Nilichogundua;

Watz wengi waoga sana; Kigs kaweka msimamo wake wazi, wengine humu, kwa woga wao au kumuabudu kwao Lowassa, wanaanza kumtisha, eti mara oh utapotezwa, hutarudi bungeni! Ni msimamo wake tu huo.
 
Binadamu yeyote ambaye mishipa ya aibu ilishaharibika haoni aibu kuzungumza mambo ya hovyo. Huyu bwana tangu nimfahamu kupitia kwenye mitandao sijawahi kuona suala lolote analizungumzia ambalo ni constructive, lakini yeye huwa anazungumza tu. Yaani Huyu bwana ni hopeless na hafai. Kwa lugha nyepesi ni mpuuzi. Elimu yake yenyewe ya kuchakachua, eti Dr. Shame on you pimbi. Come 2015 I will never see you again, problem the only place to see you will be in Segerea, paying back what you have reaped through stealing our poor Tanzania. Tax evasion through bogus company is your norm. Sasa kupitia Uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali Za Mitaa anakusanya fedha Za RUSHWA. Aje apinge hapa niweke vielelezo hapa. Wapuuzi hawa tusiwape nafasi wala kuwachekea.

Hopeless kabisa huyu dogo Kigwa..Weka vielelezo kwa manufaa ya Taifa.
 
Alif Be Te T'hee au ukikumbuka neno Alphabet tu inatosha, hilo neno limetokana na hayo matamshi ya harufu tatu za mwanzo za Kiarabu.

Kwanza sio "harufu" ni "herufi". Pili alphabet linatokana na neno la kilatini "alphabetum" ambalo pia limetokana na neno la kigiriki "alphabetos" kutokana na maneno "alpha" na "beta" ambazo ni herufi za mwanzo za alphabet ya kigiriki. Vile vile alpha na beta zimetoka katika herufi za mwanzo za Kifonesia (kwa kiingereza Phoenecian) ambazo zilimaanisha maksai (ox) na nyumba, respectively. Tembelea Wikipedia, etymology of alphabet!

Wan'chekesha!
 
Za Kiarabu haziitwi herufi, kumbuka hilo. Hao wikipedia wamekudanganya na wewe umeingia kichwa kichwa. Hiyo ni Alif Be te.
 
Za Kiarabu haziitwi herufi, kumbuka hilo. Hao wikipedia wamekudanganya na wewe umeingia kichwa kichwa. Hiyo ni Alif Be te.

Sawa. Lakini hapa tunaongea Kiswahili. Pili tunaongelea alphabet sio Alif Be te!
 
Kinachoongelewa hapo ni Alif Be te rudia posts utaelewa hilo.

Na nini chanzo cha uelewa wako kusema alphabet inatokana na Alif Be te? Nifahamishe etymology ya alphabet kwa uelewa wako na unipatie rejea nikadurusu zaidi.

That aside, turudi kwenye mada; unauonaje msimamo wa Hamisi dhidi ya Edward?
 
Back
Top Bottom