Au watu wa dunia ya tatu tumetengwa?

Au watu wa dunia ya tatu tumetengwa?

Nimesema MAJINA sio NCHI ni kweli nchi zimetajwa Ikiwemo Tanzania Lakini inawezekana walipita tu majina ya akina Mandela, unyuku, onyango, akina al_farok wa misri hamna humu
Sasa Mandela awemo kiaje wakati Biblia ameikuta!!! Wawemo kwani walikuwepo enzi za Yesu au kabla ya Yesu!!! Ingekuwaje tena wawemo watu waliozaliwa hivi karibuni!!!! Kwani umeona ya wazungu gani unaowafaham labda yamo kwenye Biblia?!!!
 
Hapa ndio utaona akili zetu zilivyo ndogo,
Unaposema Mandela unawaza South tu.
Mandela ni jina tu ambalo lilikuwepo kwasababu ule ni ukoo. Unamaana kabla ya hapo waafrica tulikuwa hatuna majina yetu?
Ethiopia wana majina yao na imetajwa katika Biblia Je kuna jina lolote linaasili ya Kiethiopia katika biblia yako.
 
Mi nafikiri hao mnaowaona ni binadamu tofauti na sisi,nao wamepitia waliyoyapitia hadi kufikia hapo walipo labda pengine tatizo letu sisi ni kutaka kufikia hapo walipo hao kirahisi.
 
Mi nafikiri hao mnaowaona ni binadamu tofauti na sisi,nao wamepitia waliyoyapitia hadi kufikia hapo walipo labda pengine tatizo letu sisi ni kutaka kufikia hapo walipo hao kirahisi.
Mkuu UHURU, unadhani kwa akili zetu ukilinganisha na wao ni lini tutafikia uwezo wa kiakili kama wao ukiondoa maendeleo, je wao uwezo wao utakuwa ni wa aina gani?
 
Hapa ndio utaona akili zetu zilivyo ndogo,
Unaposema Mandela unawaza South tu.
Mandela ni jina tu ambalo lilikuwepo kwasababu ule ni ukoo. Unamaana kabla ya hapo waafrica tulikuwa hatuna majina yetu?
Ethiopia wana majina yao na imetajwa katika Biblia Je kuna jina lolote linaasili ya Kiethiopia katika biblia yako.
Ila we bwana akili zako!!
Kama ulivyosema ni jina tu, mtu alieanzisha alifikiria akiwa na maana yake akaamua kuliita na angetaka angeita la kwenye Biblia asingekatazwa. Kwani jina kama Bush,Trump, Washington lipo kwenye Biblia?! Kama uumiavyo wazungu ndo wamependelewa!
Na ndio sisi wote tumetoka kwenye kizazi kimoja, Adam na Hawa ni chimbuko letu kutoka kwenye Biblia, hivyo majina mengine tumependa wenyewe kuyaanzisha!
 
kama hujaelewea hivi, ishu so kujiita majina ya kwenye BIBLIA, ishu ni biblia kutumia majina ya ulaya tu maana yake ni kwamba HAKUKUWA NA UNABII wowote ulifanyika kutoka AFRICA?
 
Mkuu UHURU, unadhani kwa akili zetu ukilinganisha na wao ni lini tutafikia uwezo wa kiakili kama wao ukiondoa maendeleo, je wao uwezo wao utakuwa ni wa aina gani?
Ni kipimo gani sasa kinatumika kupima uwezo wa kiakili kati yetu na wao? ukiondoa maendeleo kama ulivyosema.
 
Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana juu utimamu na ueledi wa Binadamu wa dunia ya tatu (THIRD WORLD COUNTRIES). Kumekuwa na mambo yanafanyika katika nchii hizi hakika ukitathimini vizuri huwezi kuamini vitu kama hivyo vinafanyika na binadamu.

Akili za mtu wa dunia hiii ni TOTALY DIFFERENT na wale wa dunia ya kwanza, je nini kipo nyuma ya dunia ?

Huwa Napata wakati mgumu sana kuamini maneno ya baadhi ya waumini na watumishi wa dini juu ya BINADAMU WOTE NI SAWA, je kweli hii falsafa ina endana na ukweli au ililetwa na wana dunia ya kwanza ili kuwatia moyo hawa wa dunia ya tatu?

Je ni kweli Mungu hana upendeleo?

Kwa jinsi dunia inavyoenda pia Napata taabu kuliamini hili suala,kama kila kitu chiini ya jua ni mali yake kwanini vizuri, bora na vya thamani kubwa vyote viwekwe dunia ya kwanza?

Akili ya watu wale pia ni zile wanaita first quality grade IQ, hii inamaana hata akili zetu pia tunatumia akili za grade ya chini mno kulinganisha na wao.

Kwanini maendeleo wapige wao na kufanikkiwa ni wao tu hakuna jambo lolote kubwa limewahi kufanyika katika dunia ya tatu la likasaidia dunia yote kwa ujumla?

Hakuna mtu anaependa kuonekana hana maana katika jamii, nini kilitokea dunia ya kwanza ndiio wakawa watawala na wakoloni wa dunia hii ya mwisho?

BINAFSI NAUMIA SANA NINAPOONA DUNIA YETU INAPOKEA MISAADA INAYOAMBATANA NA KEJELI NA DHARAU KUTOKA DUNIA YAO,

NINI KINAENDELEA AU HATUPO SAYARI MOJA?
Subiri wazalendo waje kuletea hadithi za Misri sijui Mansa Musa na hadithi nyingine kama hizo za kujifariji.
 
tumeamini sisi hatuwezi.. na kila kitu tuna copy kwao.... elimu yetu ilitakiwa itambue vipaji vyetu na kutuendeleza na kila mtu afanikiwe katika maisha kulingana na kipaji chake.... kama mtoto kipaji ni kuchora achore, kama ni mpira acheze, kila kipaji kikiendelezwa kinakuwa na matokeo chanya.

Fikiria wazazi wetu ... ukiwa mchoraji kipindi cha utotoni unaonekana hauna akili.

Tumefanywa tusiamini katika vipaji vyetu nasi tumekubali.

Angalia pia vyuoni ni wanafunzi wachache mno ambao wanasomea kitu wanachokipenda.. wengi inakuwa by chance.. kama bahati nasibu.

Ukitaka kufanikiwa fanya unachopenda kufanya ..kinachokupa furaha ndo kinatakiwa kiwe kazi yako.

Mfumo wa elimu yetu haiendani na mazingira yetu.. na kila utaratibu tume copy kutoka kwa wakoloni.. na mkoloni alitupa elimu ambayo itafanya tuweze kuwasaidia katika kazi zao (kuwatumikia) hivyo hamna namna tutaweza kufanikiwa kwa kuendelea kutumia mfumo wetu.

Tuna soma miaka mingi mno kwa ajili ya maisha ...

Kwa mtu ambaye ameanza shule umri wa miaka 7 anamaliza degree akiwa na miaka 23 ... kama alichelewa kidogo unakuta anamaliza akiwa na miaka kati ya 24 hadi 29... fikiria hapo umri ushaenda na ulichokisoma si cha ndoto yako hata namna ya kifanikiwa kwa umri ulioenda hivyo ni mdogo ukichanganya na viwango vya mshahara ni vidogo

Mambo mengi tunayosoma hayaendani kabisa na mazingira yetu.. tunatakiwa tubadili mfumo wetu wa elimu na kuishi kulingana na vipaji/talent zetu.
Mkuu
Kosa lako la kwanza ni kulaumu wakoloni na elimu yao.

Anyway hili la sasa la wabunge wote wa upinzani kukosa ubunge nalo linauhusiana na ukoloni ?
 
Kimaendeleo wao walipiga hatua zaidi yetu hivyo waliweza safiri na kufikia bara letu.. na hapo ndipo walipodidimiza kila jambo la maendeleo kwetu..

Ila nikitafakari naona pia bado sisi IQ yetu ilikuwa ndogo mno ndio maana waliweza kututawala kirahisi kwa kutumia viongoz wetu.
Mi nadhani tatizo siyo IQ bali hatukukutana na changamoto za kutufikirisha zaidi ya tulipoishia kufikiri.
 
Back
Top Bottom