LH XiV
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 346
- 352
Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana juu utimamu na ueledi wa Binadamu wa dunia ya tatu (THIRD WORLD COUNTRIES). Kumekuwa na mambo yanafanyika katika nchii hizi hakika ukitathimini vizuri huwezi kuamini vitu kama hivyo vinafanyika na binadamu.
Akili za mtu wa dunia hiii ni TOTALY DIFFERENT na wale wa dunia ya kwanza, je nini kipo nyuma ya dunia ?
Huwa Napata wakati mgumu sana kuamini maneno ya baadhi ya waumini na watumishi wa dini juu ya BINADAMU WOTE NI SAWA, je kweli hii falsafa ina endana na ukweli au ililetwa na wana dunia ya kwanza ili kuwatia moyo hawa wa dunia ya tatu?
Je ni kweli Mungu hana upendeleo?
Kwa jinsi dunia inavyoenda pia Napata taabu kuliamini hili suala,kama kila kitu chiini ya jua ni mali yake kwanini vizuri, bora na vya thamani kubwa vyote viwekwe dunia ya kwanza?
Akili ya watu wale pia ni zile wanaita first quality grade IQ, hii inamaana hata akili zetu pia tunatumia akili za grade ya chini mno kulinganisha na wao.
Kwanini maendeleo wapige wao na kufanikkiwa ni wao tu hakuna jambo lolote kubwa limewahi kufanyika katika dunia ya tatu la likasaidia dunia yote kwa ujumla?
Hakuna mtu anaependa kuonekana hana maana katika jamii, nini kilitokea dunia ya kwanza ndiio wakawa watawala na wakoloni wa dunia hii ya mwisho?
BINAFSI NAUMIA SANA NINAPOONA DUNIA YETU INAPOKEA MISAADA INAYOAMBATANA NA KEJELI NA DHARAU KUTOKA DUNIA YAO,
NINI KINAENDELEA AU HATUPO SAYARI MOJA?