Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Katika jitihada za kuokoa maisha ya vijana wa Kiafrika wanaozamia Ulaya (na wengi wao kufia njiani) waziri wa masuala ya Afrika wa Ujerumani Gunter Nooke alipendekeza kuwa nchi za Ulaya ziwekeze katika kujenga miji kwenye nchi za Kiafrika lakini miji hiyo iendeshwe na Wazungu kwa angalau miaka 50.
Viongozi wa Kiafrika wamelikataa wazo hilo (and most likely hawa wa kwetu walikuwa wa kwanza kupinga). Mnajua sababu kubwa ya maana ya wao kupinga?
Wanajua kuwa wazungu watafanya vizuri zaidi (na kwa kuwa viongozi wetu wa Kiafrika wanajijua kamwe hawana uwezo wa ku-match standard itakayowekwa na wazungu) WANAOGOPA KUAIBISHWA NDANI YA NCHI ZAO WENYEWE HUKU RAIA TUKISHUHUDIA.
Williamson Diamonds waliujenga mji wa Mwadui kwa mfano huo. Kaangalie leo ulivyo baada ya sisi kuachiwa.
Lumumba fc njooni mjibu tuhuma.
Kaka achana na Haya machizi meusi ya kizungu.Huna akili kabisa...mpumbavu mkubwa wee na punguani. Yaani bado unaamini katika kukombolewa na wazungu? We mjusi wa mabaka-mabaka. Yani ukubali hawa nguruwe wakishoga waje wajenge miji hapa na waiendeshe wao ktk nchi yako? Aisee ngoja ntakupata na lazima nikufumue pusi mkubwa kabisa.
Katika jitihada za kuokoa maisha ya vijana wa Kiafrika wanaozamia Ulaya (na wengi wao kufia njiani) waziri wa masuala ya Afrika wa Ujerumani Gunter Nooke alipendekeza kuwa nchi za Ulaya ziwekeze katika kujenga miji kwenye nchi za Kiafrika lakini miji hiyo iendeshwe na Wazungu kwa angalau miaka 50.
Viongozi wa Kiafrika wamelikataa wazo hilo (and most likely hawa wa kwetu walikuwa wa kwanza kupinga). Mnajua sababu kubwa ya maana ya wao kupinga?
Wanajua kuwa wazungu watafanya vizuri zaidi (na kwa kuwa viongozi wetu wa Kiafrika wanajijua kamwe hawana uwezo wa ku-match standard itakayowekwa na wazungu) WANAOGOPA KUAIBISHWA NDANI YA NCHI ZAO WENYEWE HUKU RAIA TUKISHUHUDIA.
Williamson Diamonds waliujenga mji wa Mwadui kwa mfano huo. Kaangalie leo ulivyo baada ya sisi kuachiwa.
Lumumba fc njooni mjibu tuhuma.
Tatizo wamesababisha wenyewe nchi za kiarabu za Afrika kaskazini na mashariki ya kati zilikuwa nchi za amani zilizotulia ambazo raia wake waliishi vizuri mno na wengi hawakuwa na mpango wa kwenda ulaya kama wakimbizi au wahamiaji.Katika jitihada za kuokoa maisha ya vijana wa Kiafrika wanaozamia Ulaya (na wengi wao kufia njiani) waziri wa masuala ya Afrika wa Ujerumani Gunter Nooke alipendekeza kuwa nchi za Ulaya ziwekeze katika kujenga miji kwenye nchi za Kiafrika lakini miji hiyo iendeshwe na Wazungu kwa angalau miaka 50.
Lumumba fc njooni mjibu tuhuma.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Tatizo wamesababisha wenyewe nchi za kiarabu za Afrika kaskazini na mashariki ya kati zilikuwa nchi za amani zilizotulia ambazo raia wake waliishi vizuri mno na wengi hawakuwa na mpango wa kwenda ulaya kama wakimbizi au wahamiaji.
Wazungu wakaanzisha vurumai za mapinduzi ya Arab spring kisingizio kikiwa ooh hakuna demokrasia!!!! kwenye nchi hizo!!! wakazibomoa na mabomu barabara .Chumi zikaporomoka chini sasa wakazi wa nchi hizo wanaona maisha magumu wanaona waende huko huko kwenye nchi za washambuliaji wakakae huko sababu kwao hakukaliki maisha mazuri waliyozoea hayapo tena.
Sasa wazungu waliojitia wana huruma, huruma ya kuwapokea wakimbizi imekatika.Walitakiwa wasiziingilie nchi hizo za kiarabu mambo yao ya ndani ulaya kungekuwa kimya na kusingekuwa na ugaidi duniani.Wao wakiona nchi imetulia wanachotakiwa kufanya ni kuiacha iendelee kutulia kwani ikilipuka hata kwao kutakuwa si salama.Sasa hivi Wakimbizi ni agenda ya kisiasa ujerumani wakati kabla ya hapo haikuwepo.Waliposhambulia miinchi kama Iraq ndio ukaanza kuzaliwa ugaidi mbaya kabisa.
Nchi kama Somalia ilitawaliwa na dikteta Siad barre kwa miaka kibao lakini Somalia ilikuwa taifa moja na lililotulia.Marekani na Ulaya wakajitia na videmokrasia vyao kuwa somalia inatakiwa itawaliwe kidemokrasia ya nchi za Magharbi wakaondoa mzee wa watu hawakujua aina ya watu kama wasomali wanatakiwa kutawaliwa kidikteta.Mwarabu na msomali utawala unaomfaa ni wa kidikteta au kifalme ndio panatulia.Mpaka leo marekani na ulaya hawajui nini kifanyike somalia.Nchi haikuwa na magaidi imezalisha magaidi wa ALSHABAB baada ya SIAD BARRE kuondolewa.Wanajuta kuingilia Somalia.Kila nchi ina aina ya watu na staili za kuwatawala na kuifanya itulie hawa wamarekani na ulaya wanajifanya wana solution ya utawala ya aina moja kwa dunia nzima.They are wrong.Hiyo miundo na mifumo yao ya kidemokrasia,ushoga,usagaji na ndoa za jnsia moja inafaa huko kwao sio muarobaini wa kila nchi!!!!!
Hilo tatizo wamelitengeneza wenyewe hiyo miji waijenge huko huko kwao
Kumbuka kila andishi lako utawajibika kwalo....wanatubania maisha .....
Muongezee matusi huyo kibwengo. Jamaa mpuuzi sana. Halafu utakuta anajiita kamanda.Huna akili kabisa...mpumbavu mkubwa wee na punguani. Yaani bado unaamini katika kukombolewa na wazungu? We mjusi wa mabaka-mabaka. Yani ukubali hawa nguruwe wakishoga waje wajenge miji hapa na waiendeshe wao ktk nchi yako? Aisee ngoja ntakupata na lazima nikufumue pusi mkubwa kabisa.
Mashoga ,wasagaji na wenye ndoa za jinsia moja ndio watawajaza kwenye hiyo miji watakayojenga.Wabaki nayo huko huko wajenge kwaoNatamani waje watutawale tena maana walituletea maendeleo kuliko wakoloni wetu wa sasa wanaotudidimiza katika umaskini
Kukuletea mji utakaojaa mashoga,wasagaji na watu wa ndoa za jinsia moja ndio maisha Bora?wakoloni weusi wanatubania maisha bora ambayo yangeletwa na mkoloni mweupe.
Hayo maswala ya mashoga muulize Waziri Mahiga.Kukuletea mji utakaojaa mashoga,wasagaji na watu wa ndoa za jinsia moja ndio maisha Bora?
"kwalo" ndiyo ugoro gani??Kumbuka kila andishi lako utawajibika kwalo.