Habari za mda huu ndugu zangu,nna mdogo wangu wa kike amepima ameambiwa ana bacteria ktk dam pia mkojo una sukari.pale hospitali ameandikiwa dawa aina 3 ampiclox.., flay.. (nmeshindwa kusoma vzur walivyoandka) pia akapewa na dawa nyingne ya tatu, tulipotoka hapo kwenda kununua dawa nyumban yule muuza dawa ni dokta wa muhimbili akasema huyu dogo ana miaka 16,na uzito ni 35 hivi. hivyo hakumpa dawa hiyo ya aina ya tatu ambayo iliandkwa na dokta kule hospital,akidai kuwa huyu mschana ni mdogo na dozi aloandkiwa ni kubwa,je nifate ushaur wa dokta yupi??