Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
mh! Umejuaje kama ka kathosea?
Sijui kingereza. Sasa nitamkosoaje?
Sijui kingereza. Sasa nitamkosoaje?
nakumbuka na ndio kishatokea!
mh! Umejuaje kama ka kathosea?
maloveee yamekwenda na figganigga
hahaaaaa!
Sasa nitakuepo kuepo kwanza.
Kwan wapi nimesema kuwa amekosea?
Yame kufa bado kuzikwa tu!
mh! Okey kwanini uli ya highlight
mh! yangu macho
maskio nitayatega tu sitii neno!
Kwa sababu ni kingereza. Sikuelewa
hahaa!love u love u zilizidi
kiko wapi manoah???!!!shutuuuu!
Ni utoto tu. Mkikua mtaacha..
Nitahairisha kumuacha?
yeah!. sasa hivi mimi ndo namkumbatia mimisa zero distance. manoah alijifanya kwenda mahakamani kuukata rufaa nakonimembwaga. so sasa hivi kwa tabu na raha ni mimi na mimisa. na sasa hivi ntakua natembea na gun. miakumbe figganigga ndio amekuporamrembo mimisa!heheeee!