Daaa..! log out muambie Nanji ampende Polisi ben zaid ya yeye anavyo jipenda
Mi yangu macho nakusubiria home jifurahishe tu hapa
nimepangiwa night patrol
unajua hiyo sister ni user name ya mtu.
ndo ujue kuanzia sasa.mmmmh nijulie wapi ndo kwanza unanitoa ushamba
Hilo nalo nenooo :thumbup::thumbup:
amefura hasira hata nina bahati nimepangwa kwenye night patrol so crudi home atalala mwenyewe na mihasira yake.
aaah vitisho vimezidi BROO kutwa natishiwa kuachwa, sasa siogopi wala nn akimwaga mboga me napiga teke ugali.