Attractive Woman

Attractive Woman

Kila kitu kizuri kwa mwenyekiti na mkurugenzi tuu?na sisi je au mnataka tuutafute uenyekiti kwa nguvu acheni mambo yenu bhana

Pakichinjwa kuku kwenye boma unadhani kidari, paja na other nice parts, huliwa na nani?
Then shingo sijui vipapatio walengwa wake wanaeleweka!
Ni suala la itifaki tu mkuu!
Utakula tu kipapatio hamna m'badala!
Wewe na kipapatio! Kipapatio na wewe!
 
Pakichinjwa kuku kwenye boma unadhani kidari, paja na other nice parts, huliwa na nani?
Then shingo sijui vipapatio walengwa wake wanaeleweka!
Ni suala la itifaki tu mkuu!
Utakula tu kipapatio hamna m'badala!
Wewe na kipapatio! Kipapatio na wewe!



Itifaki gani ya kula mapaja mwenyewe.nitahakikisha namng'oa mwenyekiti ili na mm nifaidi firigisi.
 
Ndo manake,mens wengi wana wake zao but they find sex and comfort in the hands of dadapoa,UNADHANI NINI TATIZO?

mmh kusema ukweli tatizo silijui coz am not 'me'. Hata mimi nipo katika harakati za kujua tatizo liko wapi?
 
Back
Top Bottom