Attractive Woman

Attractive Woman

poa ni hilo tunilitaka kujua my dear 1 mimisa!
mkuu mimisa kakudanganya. Mimi hicho kiumbe aliye nigawia ni manoah kwa kuniambia amepata kifaa kipya. kwakua nampenda mimisa nikakubali!. huko tunakoenda naona tutatoana meno juu ya huyu kimwana mimisa. nashangaa kwanini manoah anakula matapishi wakati kashaniachie nrembo na kusema ameanza kurusha ndoano kwa Passion Lady. kiendacho kwa mganga?.....mia
 
Last edited by a moderator:
heee!kumbe ni manoah alikukabidhi mwenyewe
mi nimemtosa inabidi arudishe majeshi hahaaa!
hakuna wa kunitenga na Ruttashobolwa hata aje na benzi lol!

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom