Attachment inagoma

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,772
2,171
Kila ninapo - attach file kwa email account yangu ya gmail wakati natumia laptop yangu hiyo attachment inashindikana ku-upload. Lakini nikitumia computer nyingine attachment inakubali. Tatizo ni nini?

Natanguliza shukrani kwa ushari wenu
 
try using another browser...like safari or chrome/ ....if the problem persist check ur internet conectn speed and the magnitude of the file /Mbs
 
cheki ukubwa faili - ni zaidi ya 25MB? Gmail ina attach fasta zaidi kuliko yahoo
 
Back
Top Bottom