Una lengo la kusema alizoshambuliwa Lissu ni chache??
Au ni kawaida tu kupona kwa watu wanaoshambuliwa risasi nyingi??
Nimewahi chance!!
Kwa hiyo nyie CCM mnaona hii habari ya india ndiyo justification yenu ya kumiminia Lissu risasi 38 kwasababu tu amewashinda kwa hoja??Hebu cheki watu waliomiminiwa risasi za kifuani takribani 97.
View attachment 670366 View attachment 670366
Yaani huwa nashindwa kukudefine kama una akili timamu au la! Yaani hii albadir wacha iwachezeshe shere tu hadi mjitaje wenyewe!Hakuitisha press conference huyo
Mavyombo makubwa ya habari ya dunia ndio nini?Yaani huwa nashindwa kukudefine kama una akili timamu au la! Yaani hii albadir wacha iwachezeshe shere tu hadi mjitaje wenyewe!
Ile press ya Lissu inawaumiza kichwa eeh! Mbona ya Nairobi ni trailer tu, subirini baba lao kutoka Brussels atakapokuwa anahojiwa na mavyombo makubwa ya habari ya dunia ndipo mtanena kwa lugha na kutajana!
Mkuu kusema uongo ili kufunika ukweli si sawa hata kidogoAfter he was shot!
Risasi moja ys kupigia kunguru ina zaidi ya vipande 50 ndani yake kwa hiyo huyo muhindi alipigwa risasi mbili tu!After he was shot!
Kwani pellet ngapi zinatoka kwenye Lisasi moja? Usikute vipande 97 vimetoka kwenye risasi 10...!!!After he was shot!
Yani CCM mlitaka kuitoa haki ya Lissu ya kuishi mkafeli sasa leo haki ya lissu ya kulia mnataka kuipokonya kwasababu tu huko India kuna mtu alipigwa risasi nyingi alafu akakaa kimya???Hakuitisha press conference huyo