Atolewa vipande 97 vya risasi baada ya kushambuliwa!

Atolewa vipande 97 vya risasi baada ya kushambuliwa!

Najua umekaa sehemu unasubiri muitikio WA wasomaji.Unataka kuandika kwamba watu wasitafute "kiki"!Kwamba [HASHTAG]#Lissu[/HASHTAG] asijidai sana,alipigwa risasi chache tu!?
Si mnatafuta kiki kwamba ndio wa kwanza kupigwa risasi?
 
Una uhakika haijabaki hata moja Mkuu? Huwa nasikia hata kama zitatolewa zote lazima tu kuna moja itakugomea kutoka na ndiyo utaishi nayo daima milele amina.
Umepotea sana "kamanda"
 
Jingalao kiingereza kinakusumbua usingetafsiri hivyo vipande vinaweza kutoka katika Risasi Mbili au tatu tuu...hakuna kiumbe kinachoweza kupigwa risasi 97 kifuani na kikaendelea kuwa hai labda risasi za kuwindia ndege umpigie tembo...
 
Mkuu kusema uongo ili kufunika ukweli si sawa hata kidogo
Hakuna mtu anayeweza miminiwa 97 na akabaki,kiufupi anakuwa chujio

Ukute alipigwa na gobole
Nasiyo chujio tu anakuwa wavu wa kuzuia mbu au wa kuvulia samaki.
 
Jingalao kiingereza kinakusumbua usingetafsiri hivyo vipande vinaweza kutoka katika Risasi Mbili au tatu tuu...hakuna kiumbe kinachoweza kupigwa risasi 97 kifuani na kikaendelea kuwa hai labda risasi za kuwindia ndege umpigie tembo...
Mmeacha kuamini katika miujiza?
 
Back
Top Bottom