My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Sasa mbona roho zinawauma Lissu akiongea?Kwani kakatwa mdomo?
Na bado huu mwaka baadhi yenu mtakufa.
Sasa mbona roho zinawauma Lissu akiongea?Kwani kakatwa mdomo?
Kwa hiyo asitokee mtu akajidai amekufa kwa kukung'utwa marisaa "salasini na sits"?Si mnatafuta kiki kwamba ndio wa kwanza kupigwa risasi?
Hizo ni fikra zako
...mbaffff sana weHizo ni fikra zako
Ndo mana mungu kaamua LISSU usife uje uwaumbue mazombi ya lumumbaHebu cheki watu waliomiminiwa risasi za kifuani takribani 97.
View attachment 670366 View attachment 670366