ATM zingekuwa zinakopesha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ATM zingekuwa zinakopesha!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lole Gwakisa, Oct 3, 2009.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,963
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Usiku mmoja mlevi ambaye akili ilikuwa bado 50/50 aliona watu wakipiga foleni mbele ya mashine na kubonyeza bonyeza halafu wanapata pesa.
  Yeye akijua leo anabahati ya mtende, baada ya kuondoka mtu wa mwisho naye akabonyeza bonyeza wee na mwishowe akaiuliza
  "Aisee unaweza kunikopesha elfu hamsini,nitarudisha keshokutwa"

  Mashine ATM: kimya

  Mlevi: "tafadhali nisaidie bwana, najua pesa unazo, wengine umewapa sasa hivi"

  Mashine ATM: kimya

  Mlevi: "noma sana wewe jamaa uliye huko ndani"
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhhhhhhh
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sometimes to get the joke, u have to picture the whole scenerio
  Safi sana mkuu...i liked it! Especially the part..."noma sana we jamaa uliye humo ndani"
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Jamaa aliyeko ndani mnoko, Hahahahahaaa
   
 5. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  sikuzote wikiendi ingekuwa inaaza hivi ingekuwa muruaaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...