atlast!

Bitte247

New Member
Jun 15, 2009
1
0
Mhhh! atlast sasa nimeingia rasmi after a long scrutiny! Marahaba wadau, nipo laivu kuanzia sasa jamvini! Napenda mambo yote na chukia vyote. Muendelee kuwepo tupate!!
 
karibu mdau tulikuwa 2nakusubiri kwa hamu......lakini je,una jipya au ndo yaleyale ya enzi za mwalimu?
karibu sana 2longe......................
 
Back
Top Bottom