Atlas Primary School - Madale, Dar

Atlas Primary School - Madale, Dar

Mimi bado sikubaliani na hili la mkuu wa shule kuwapelekesha wazazi. Lakini ndiyo silka ya Watanzania, tu wapole sana na hatuna umoja, umoja wetu upo kwenye makaratasi tu!
 
Haaa haaaa! jamaa unautani wa mapanga, jamaa kakwambia mwenyeshule msikivu then unasema ni msikivu kwa mkewe tu! hii inamaanisha huyu mtoa namba ndo mke wake! coz ndo kasema mwenyeshule msikivu! NAJARIBU KURUDISHIA SEHEMU ZILIZOFUTIKA.
Hahhahahahaha ila we jamaa ni mchocheziiiiiii....
Dah
 
Mi nilishasema mwanangu atasoma shule iliyo karibu na nyumbani..full stop..kumuamsha sa kumi nope....shule ziko nyingi mno na nzuri
Nilikuwa na mahusiano na dada mmoja mboga saba. Yeye kasoma international schools kuanzia kindergarten mpaka form six. Mwenzie mimi nimesoma public mpaka form six.

Sasa mtazamo wake na wangu juu ya shule ni tofauti. Anaamini mtoto ili afanikiwe lazima apelekwe international schools. Dah ilikuwa mbinde kufikia makubaliano.

Ila personally, siafikiani suala la kumuamsha mtoto saa kumi usiku kisa shule aisee.


NB: shule za serikali zinahitaji wazazi committed lakini. Msije mkaninukuu vibaya. Namshukuru sana baba yangu kwa tuition za nyumbani. Leo hii ninaweza kusimama na mwanafunzi wa background yoyote tukashindana hoja. So, kama unaweza kujitoa muda kumfundisha mwanao...mpeleke hata serikali. Kuamshana usiku si poa.
 
Jamani kwa wale wote tulio na watoto katika shule hii ya Atlas, naomba kwa wale tuliopiga kelele sana kwa ishu ya usafiri tusaidiane tena kupiga humu jamvini ili mamlaka husika zisaidie...

Mimi nina watoto wawili katika shule hii, darasa la tatu na mwingine darasa la kwanza... Shule hii kitaaluma iko poa sana. Tatizo wanafeli sana ktk ishu ya usafirishaji wanafunzi.

Madereva wa shule hii hawana weledi ktk kazi zao, wenyewe kumuacha mtoto ubungo wakati alipaswa kushuka tcra cyo tatizo kwao.

Tumejaribu sana kuuelekeza uongozi wa shule hii kuhusu hili lakini naona wanatia pamba masikioni, baadhi ya magari yao ni mabovu, pia yako machache kiasi kwamba watoto wanapakatana.

Nimekwisha andika barua juu ya hili kwenda wizarani na nasubiria action yao dhidi ya shule hii. Watoto siwahamishi kwakua napenda mfumo wao wa ufundishaji ndiyo maana napambana wawe smart.
Hivi ni lazima watoto wako wasome hapo ?
 
Bahari shule nzuri sana, pia wanangu wanasoma bahari, sikutaka kabisa kuwapeleka atlas

Tatizo letu wazazi hatufanyi maandalizi mapema ya kuwatafutia watoto wetu shule, huwa tunafuata mkumbo na maandalizi ya zima moto, wakati tunataka watoto wasome shule nzuri

Lazima tuwatendee haki, kuanzia mazingira mpaka elimu
Mkuu hao bahari gharama zao zipoje kwa primary
 
Ikiweka mada ya watoto ndo utagundua jf wote wazazi, wakati huo kwenye jukwaa la MMU wengi mabikra!! Ila nyie watu!
Mimi si mzazi ila nimechangia. Kujua jambo hakuhitaji uwe mzazi.
 
Kwani umeshikiwa bastola kwa watoto wako kusoma huko?

Huwa sifanyi maamuzi ya kukurupuka mkuu... Kitaaluma wapo very okay... Tunapigania mmiliki kuboresha huduma ya usafiri ili tuendelee kuwapo.
Nliwatoa wanangu anazaki to madale sasa kuwahamisha tena naona kama nawa disturb
 
Sasa mkuu haya maoni yako si ungeyatoa moja kwa moja kwa management ya shule?

Tayari kwa maneno na kwa maandishi.. Soma thread vizuri... Hata barua nimeandika wizarani..
 
Tayari kwa maneno na kwa maandishi.. Soma thread vizuri... Hata barua nimeandika wizarani..
Duh tabia za ujaama zimesha waja akilini unaandika wizarani ili iweje kwani hiyo shule ulipangiwa na wizara.....tuko ktk capitalism ukiona iko againest masilahi yako quite plz wtz tumezoea kulalamika lalamika hasa watu waliosoma kipindi cha ujaama ni problem tupu......
 
Hivi ni lazima watoto wako wasome hapo ?

Sio lazima, niliwahamisha mwaka jana toka anazaki ya kimara to Atlas madale... Napata wakati mgumu kuwatoa Atlas to shule nyingine. Huyu wa darasa la tatu alipohama anazaki aliongea jambo kama mzazi nliumia lakini ckua na jinsi.. Wanamiss vingi ukiwaamisha including their friends.

Lakini pia kama mzazi sipaswi kufumbia upuuzi wowote unaowahusu wapiti macho eti elihali tu naeza wahamisha wakwangu. Tunapaswa kukemea upuuzi wa namna hii bila kujali kua mwanao anasoma pale au lah

Yalivyotokea ya lucky Vincent ya Arusha wote tuliumia na kuaononeka sana tena zaidi ya sana japo hatukua na watoto wetu katika ajali ile.

Kumbuka kua serikali ikiiwajibisha Atlas basi hata shule hiyo anayosoma mwanao itakua smart.
 
Ipo karibu na Police staff Quarters pale Kijichi au NASACO zamani, ni wastani wa Km 3 tokea round about ya Mbagala Mission. Aidha maeneo hayo zipo nyingine 2 pia ni nzuri!
Nitakwenda kufuatilia J3 InshaAllah, si mkono wa kushoto ukitokea Mjini Unachukua barabara ya upande wa kanisa katoliki? Shukrani sana
 
Kwa sababu nasomesha bure !? Hebu nitolee kisilani chako hapa,watoto wanaokaa buza shule Muhimbili huku wanapanda daladala za umma huwaoni!!
Mimi sina kisilani, ila nahurumia ukuaji wa mtoto,kiakili na mazingira

Nenda siku moja umuone Dr wa watoto akupe mwongozo wa ukuaji wake, anahitaji nini, muda wa kulala anatakiwa awe amelala muda gani, harafu utaniambia
 
Unasema madereva wake hawana wered ....ckuelewiii kivp ww ndo....czan kama mtoto akisema nashuka mwenge ataenda kushushwa makumbusho...ni uzembe wake .....afu uko ni kuharibiana biashara umu hakuna kamati ya shule kusema utasaidiwaa....atlas wana group lao la watsap wazazi woote wako mule peleke mule shida zako



NOT3:mwanangu anasoma pale form 2 mwakani anaingia panapouzima
 
Unasema madereva wake hawana wered ....ckuelewiii kivp ww ndo....czan kama mtoto akisema nashuka mwenge ataenda kushushwa makumbusho...ni uzembe wake .....afu uko ni kuharibiana biashara umu hakuna kamati ya shule kusema utasaidiwaa....atlas wana group lao la watsap wazazi woote wako mule peleke mule shida zako



NOT3:mwanangu anasoma pale form 2 mwakani anaingia panapouzima

Sikushangai natambua ulipojikwaa
 
Back
Top Bottom