Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Aje Makorora Tanga au Chuda akutane na wadada wa Kidigo waliofundwa wakafundika...mwanaume unaweza teguliwa kiuno usipokuwa makini...kila aina ya mziki utachezeshwa kunako 6x6

 
I will be the Judge
Wewe kama ni judge subiri kesi ije mahakamani pindi wakipunjana malipo acha sisi marefarii tuwepo live dimbani, na kadi sibebi wala offside hakuna ninachohitaji ni kufungwa magoli tu.
 
Game yenu ni D-list...viuno vigumuuuuu, hamjui kufanya romantic kissing, yaani ukimnyonya mwanaume ulimi ni kama unakaza tai vile anaweza hata kupaliwa...eishhhhh!!!
duuh hii thread ni yako nini?
kila mtu ana flavour zake.... na kila mtu ana kula kiasi chake na uthamani wake....kama hudeserve kupewa busu je?
sometimes mwanamke anaweza kwenda bed na wewe hata hakufeel lazima utaona gemu lake baya..ila nazi ikipata mkunaji sio mchezo....wewe unakutana na wakukuchuna tu...pole yako
 
natafta mwl anifundshe kukata kiuno..nani yu tayar?
 
Pretta mi nabisha hebu lete facts big sister wewe
 
Wewe kama ni judge subiri kesi ije mahakamani pindi wakipunjana malipo acha sisi marefarii tuwepo live dimbani, na kadi sibebi wala offside hakuna ninachohitaji ni kufungwa magoli tu.

hahaaa naona mnagawana madaraka wakati wahusika wa mchezo tuko pembeni!!!!!!!
 
Kueleza Hisia ni vizuri lakini hapo ulipo changanya na mambo ya Sakramenti ya Ubarikio umekosea.Uwezi kuchanganya vitakatifu na uchafu.Naomba uondoe hilo neno Sakramenti ya Ubarikio kwenye posti yako.
bila Shaka father, ngoja nitoe mkuu
 
Hahah thread sio yangu...ila leo nimeamua kuwakalia kooni Wachagga...post yangu ya ushauri nilishaitoa mwanzoni kabisa...
Nadhani Wachaga huwa wanawezana wenyewe...halafu nasikia hata wanaume wa Kichagga maneno mengi mdomoni tu, ila chumbani ni wavivu kama matembele, muda wote yamejilaza tutani tu!!!

 
ha ha ha ha ha ha.............. bro ya kweli hayo............... kina massawe watakuua leo humu wakikuta hio mineno... ha ha h ha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…