Jina sio Mashoga.
Wanauliza wanaume wanaojiuza kwa wanawake wakubwa wenye pesa ili kuwafurahisha kimapenzi waitweje?
Hujawahi kukatiwa?
Ukiacha yale makabila yanayofanya jando na unyago kwa ajili ya kutimiza mila na desturi, yapo ambayo unyagoni mabinti hufundishwa kwa ufasaha kabisa namna ya kuzungurusha nyonga yake ili amridhishe mwanaume.
Wapo mabinti wanaishi maisha mazuri sana kisa kiuno, Lakini cha kushangaza siku hizi wapo vijana wa kiume nao wamefanya viuno vyao mtaji, si wacheza shoo, bali ni wazinzi.
Wanafanya ngono na akina mama wenye uhitaji kwa malipo maalum ni machangu wa kiume ila hawajulikani sana na wanafanya kwa siri sana.
Kwan mpaka sasa hawaja pewa boom?
Hahahahaaa tinna cute unamaanisha?
Thank u for this analysis! Kiukweli wengi sio wanaume ila WA KIUME!nashukuru wewe umenielewa kuwa namaanisha nini, shida ni kwamba wanaume ni wachache wanawake ni wengi, na kati ya hao wachache wengi wao hawana nguvu za kiume au hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake
nashukuru wewe umenielewa kuwa namaanisha nini, shida ni kwamba wanaume ni wachache wanawake ni wengi, na kati ya hao wachache wengi wao hawana nguvu za kiume au hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake
Mambo?hahhah mpwa acha tu
Basi sawa!
Mambo?
mpwa uda bafua? daoda hada besegi idaakisi hivyo