Elections 2010 Ati Mhingo Rweyemamu ndiye Mratibu wa Kampeni za Kikwete!

Watanzania wahamasishwe kutonunua magazeti yote ya new habari corporation yaani mtanzania, rai, dimba na kuyapiga vita kabisa kwa nguvu zote, na kususia biashara zote za watu wanaohusishwa na ufisadi, kwa nini tuendelee kuwaneemesha waporaji wa rasilimali zetu, spread the news now..............................................................................................................

Hali kadhalika magazeti ya serikali yamekuwa vibaraka au vyombo vya propaganda za CCM na kila jambo la CCM wao wanalishabikia bila hata kuwa critical and objective lakini yote hayo tunayaona na hatuchukui hatua we need to call them out......................
Kwa mfano leo nimesoma gazeti la Habari leo lina kichwa cha habari KIKWETE AOKOA VIJIJI hii habari ilinitia kichefuchefu nikaamua kumwandikia mhariri wa gazeti hilo disapointment zangu kama ifuatavyo:
Ndugu Mhariri,

Nimekuwa nikifatilia mwenendo wa gazeti hili kwa mda mrefu na ningependa kuwataarifu kuwa habari zenu nyingi hususani zinazoihusu serikali ya JK na Kampeni yake ni za kishabiki zaidi na haziko objective,

Kwa mfano habari hiyo hapo juu kuwa kikwete aokoa vijiji kutoka kwa nani? huyo huyo JK si ndio mkuu wa nchi na serikali yake ndo inatawala sasa inawezekanaje JK aokoe vijiji kutoka mikononi mwa serikali yake hiyo hiyo, kwani NARCO ni kampuni ya serikali, sioni mantiki ya nyinyi kubobea kwenye habari za kushabikia GIMMICKS za kampeni ya JK, Habari hiyo ilitakiwa kuikosoa seriikali ya JK kwa kutokuwa na mfumo mzuri wa utawala na kuwakandamiza wananchi, hiyo ndo sura halisi ya serikali ya CCM, sasa inawezekanaje serikali hiyo hiyo inakuwa na two conflicting decision? So hiyo inaonyesha kuwa JK na serikali yake is out of touch na maisha ya watanzania wa kawaida!



Sasa badala ya kuanika uozo mnashabikia uozo, what kind of ethics za uandishi mnatumia? au ndo mmekwisha athirika na kuwa waandishi wenye fikra nyepesi nyepesi kwenye masuala yanayohitaji critical analysis and reporting, au ndo ufisadi katika vyombo vya habari vya taifa! mind you mnalipwa kwa kodi zetu wanainchi hivyo basi achani ushabiki kwa kulinda maslahi yenu na andikeni habari zilizo objective na kuisadia jamii sio kupotosha ukweli kwa manufaa ya wachache,



Ni ukweli usiopingika kuwa magazeti yenu yamepoteza sifa ya kuwa vyombo vya taifa zima bali yamekuwa yakionekana na sura ya kumilikiwa na chama tawala bila ya kufata maadili ya uandishi.

Mimi kama mtanzania mlipa kodi na very hardworking natoa onyo kwa uongozi wa magezeti ya Habari Leo na Daily News kuwa mkiendelea kuandika bias news na za kiushabiki zaidi tutawafungulia kesi mahakamani na kuwataka watanzania kuandamana kupinga vitendo vyenu dhalimu, ushahidi tunao wa kotosha hivyo tunaomba habari zenu ziwe fair na objective, hatuwezi kugharamikia waandishi ambao ni uncritical citzens, Habari leo PUT YOUR COUNTRY FIRST, JK na CCM watapita lakini Tanzania na Vizazi vyako vitakuwepo daima.



Uzalendo na mapenzi ya nchi viko wako, yaani unafki kila sehemu na tabia hii iliyojengwa na CCM ndo inalitafuna taifa letu, tafadhali sana msije sema hatukuwaonya kuacha kuwa washabiki kama kwenye mpira wa soka na kujikita zaidi kwenye taaluma yenu na kuwasaidia wananchi waweze kuelewa ukweli ili waweze kufanya informed decision, lakini mnachofanya ni tofauti kabisa, Kikwete aviokoa vijiji je vijiji vilitekwa na majambazi?, aliens? foreign country? wapinzani? Majibu yote ni la! sasa kama serikali hiyo hiyo inawafukuza wananchi kwenye vijiji halafu inakuja kuwaokoa! hivi mnafikiri watanzania bado ni wajinga kiasi gani? shame on you wahariri wa Habari leo
 
Ukabila tu. Salva Rweyemamu kampa ulaji Muhingo Rweyemamu. Ndugu zetu hawa wana sifa moja kubwa ya kujua sana kujipendekeza na utiifu wa kinafiki.



Kwa nyekundu,futa kauli hizi ni tabia kwa baadhi ya watu,Kama watu wana uwezo acha wapige mzigo labda ujadili matokeo ya kazi wanazofanya,kama wameshindwa wawekwe wa kabila lako,wewe au mwingine

Acha tabia ya kubadilisha maana ya topic,watu wanajadili issue ya muhingo kuwa mratibu,wewe unaleta ukabila,kwani Mwaka 2005 wakati muhingo akiwa Mratibu wa kampeini za JK Salva alikuwa ikulu?

Chunga sana,achana na mambo ya ukabila
 
Tuanze kuyatambua haya mapandikizi kwa Sura zao...MWENYE PICHA ya hili Pandikizi atuwekee hapa...maana hata Kenya mapandikizi yaliaanza hivi hivi...
 
Duh! Kama maadli yake ni utata hivyo amewezaje kupata nafasi ya kuratibu kampeni za CCM? Au kwa sababu CCM wamezoea uchafu na uozo wa aina hii ndio maana wanaona huyo ndiye anayewafaa kuratibu kampeni zao. Sasa naelewa kwa nini magazeti anayoyasimamia - Rai na Mtanzania- yamegeuka kuwa wakala wa CCM na kuandika porojo kuhusu wagombea wengine, hasa Chadema. Haya mambo mengine ya CCM yanatia kichefuchefu.:confused2:

Hawa wanyarwanda wako makini sana....nakuambia kuna siku Kagame atasema Lake Tanganyika ni yake, Kigoma ni yake ect. Nimemsikia juzi CNN akisema Afrika Mashariki tuna madini mengi sana .....(sisi Afrika Mashariki)--yaani jumuia mpya...
 
Back
Top Bottom