Ati, "inategemea". 🤮

Ati, "inategemea". 🤮

Lakini mkuu, neno 'inategemea' linaporudiwa huwa linakera sana. Naona hata wife analitumia mara kadhaa, labda ndiyo maana nikilisikia huwa nakereka tu.
Basi ndio sababu binti analitumia sana, kama mkeo ana tabia ya kutumia vibwagizo fulani, ni rahisi sana watoto kuiga.
 
Basi ndio sababu binti analitumia sana, kama mkeo ana tabia ya kutumia vibwagizo fulani, ni rahisi sana watoto kuiga.
Sasa nimeamini kuwa usipoziba ufa utajenga ukuta.
 
Karibu nyumbani Mzee mwenzangu. Binti yangu nikiwapa wala sitakuwa na mashaka kabisa.
Tutakaribia mkwelima, bora turudie miaka yetu ya 47 kuchagulia wake/waume vijana wetu

Nahisi itasaidia kupunguza hizi talaka zinazotolewa kama njugu miaka hii
 
Tutakaribia mkwelima, bora turudie miaka yetu ya 47 kuchagulia wake/waume vijana wetu

Nahisi itasaidia kupunguza hizi talaka zinazotolewa kama njugu miaka hii
Hiyo ni nzuri sana Mzee mwenzangu. Sisi wazee tukishajuana na kuaminiana basi itapendeza watoto wetu wakioana kama ilivyokuwa miaka ya 47 kule.

Famila itakuwa imara sana tukiwachagulia vijana wetu wake/waume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom