Ati, "inategemea". 🤮

Ati, "inategemea". 🤮

Jana kuna mtu kapost screenshot kwamba anaona PM za watu. Na moja ya zile Screenshot Mume mwenzio 11 na Profile Picture yake inaonekana.
Ameanza na Neno kuwa "Seran , achana na yule bwege ndege.... " ikaishia hapo. Ila ilikuwa inaendelea.

Kama hukuiona, basi Mwenye nayo ataiweka uione.

Ila Mume mwenzio anakasagia kunguni balaa.
NB: Natania.
ila screenshot iko ya Yeye 11 akikusagia kunguni.
Watajuana wao
 
Wakuu, nisaidieni huenda uzee unanisumbua!

Mtu unamuuliza kitu badaya ya kukupa jibu anakuambia, "inategemea". 🤮

Leo mchana binti yangu wa form four nilimwambia, huendi kunyoa nywele?

Badala ya kunijibu ndiyo au hapana, yeye akanijibu, "inategemea". 🤮🤮🤮

Nilichoka baba yenu.

eron,
Grahams.
Inategemea, ina maanisha jambo lipo 50/50 kwamba kuna mazingira yanaweza kupelekea yeye kwenda saluni ama kutokwenda.

BTW, nikupe hongera kukuza

Kama hautajali, tuanze kuitana mkwelima.

Kijana wangu wa kwanza, anatafuta mke huu mwaka wa 4 anasema bado hajapata chaguo sahihi

Ngoja nitafute Wazee wenzangu tuje kuyajenga, tupo radhi kusubiri miaka 7 ijayo hadi binti amalize shahada yake ya kwanza

Good morning šŸ„‚
 
Karibu nyumbani Mzee mwenzangu. Binti yangu nikiwapa wala sitakuwa na mashaka kabisa.
 
Jana kuna mtu kapost screenshot kwamba anaona PM za watu. Na moja ya zile Screenshot Mume mwenzio 11 na Profile Picture yake inaonekana.
Ameanza na Neno kuwa "Seran , achana na yule bwege ndege.... " ikaishia hapo. Ila ilikuwa inaendelea.

Kama hukuiona, basi Mwenye nayo ataiweka uione.

Ila Mume mwenzio anakasagia kunguni balaa.
NB: Natania.
ila screenshot iko ya Yeye 11 akikusagia kunguni.
bwege ndege Bado upo? šŸ˜„
 
Attachments

  • Screenshot_20260812-115108_1.jpg
    Screenshot_20260812-115108_1.jpg
    145.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20260812-115118_1.jpg
    Screenshot_20260812-115118_1.jpg
    123.6 KB · Views: 1
Jana kuna mtu kapost screenshot kwamba anaona PM za watu. Na moja ya zile Screenshot Mume mwenzio 11 na Profile Picture yake inaonekana.
Ameanza na Neno kuwa "Seran , achana na yule bwege ndege.... " ikaishia hapo. Ila ilikuwa inaendelea.

Kama hukuiona, basi Mwenye nayo ataiweka uione.

Ila Mume mwenzio anakasagia kunguni balaa.
NB: Natania.
ila screenshot iko ya Yeye 11 akikusagia kunguni.
Hivi yule jamaa aliyeweka zile screenshot ni nani mkuu? Nimesahau šŸ†” yake.
 
Alimaanisha hakukuelewa umeuliza au umemwambia ndio maana akajibu inategemea jibu litabadilika kullingana na uhalisia wa swali!

"Leo mchana binti yangu wa form four nilimwambia, huendi kunyoa nywele?"
 
Nilimwelewa, lakini nilikereka mtoto mdogo kama yeye kunijibu kwa mkato. Heshima imeshuka kama chupi ya malaya wa kimboka.
 
Hapo ni 50/50. Kuna uwezekano asinine kwa sababu fulani, au anyone kama unavyotaka.

Hongera kwa kuwa na binti wa form 4 mkuu, umekuza.
Lakini mkuu, neno 'inategemea' linaporudiwa huwa linakera sana. Naona hata wife analitumia mara kadhaa, labda ndiyo maana nikilisikia huwa nakereka tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom