Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Sometimes wafia dini tubakosa hoja za msingi katika kutetea uwepo wa mungu, sasa kama ww unazungumzia yesu alikuwepo mara alipaa ilihali hakuna ushahidi wowote wa hilo ukambiwa uthibitishe. Hebu tuwe tunayasoma vizuri hayo maandiko mkuu halafu tuhoji akilini mwetu si kila andiko unalibeba tu. Eti watu 500 walishuhudia as if uliwaona wakishuhudia kupaa kwa yesu
WEWE UNAWEZA THIBITISHA TANZANIA ILIPATA UHURU MWAKA 1961???????
 
1.Unaweza ukanionesha niliposema siwezi kuthibitisha uwepo wangu?

2.Unaweza ukathibitisha kwamba niliumbwa?

3.Unauliza uthibitisho gani, we hujui criteria za uthibitisho?

Na kama ni hivyo unakubali kwamba ulikurupuka tu mwanzoni kuanza kujibu vitu ambavyo hata huvijui?
HUJAJIBU SWALI...

kukurahisishia unataka ushahidi wa aina gana kuhusu MUNGU???/
 
Hujathibitisha uwepo wa Mungu,kwa sababu hayupo.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
HUJANIJIBU....
kukurahisishia unataka ushahidi wa aina gan kuhusu MUNGU???/

WA picha/video,maandishi.au kuoneshwa au wa aina gan?? ...sema unatakaje then nikuthibitishie ...nakusubiri...
 
Sometimes wafia dini tubakosa hoja za msingi katika kutetea uwepo wa mungu, sasa kama ww unazungumzia yesu alikuwepo mara alipaa ilihali hakuna ushahidi wowote wa hilo ukambiwa uthibitishe. Hebu tuwe tunayasoma vizuri hayo maandiko mkuu halafu tuhoji akilini mwetu si kila andiko unalibeba tu. Eti watu 500 walishuhudia as if uliwaona wakishuhudia kupaa kwa yesu
UNAONGEA KANA KWAMBA UNAFAHUMU UKIONGEACHO...EBU THIBITISHA UWEPO WAKO KWAMBA ULIZALIWA....UKIWEZA HAPA ..NDIO UJE UULIZE VITU MUHIMU SASA
 
Mtu ambae hawezi kujichungaza mwenyewe akajijua yeye ni nani na nini anawezaje kujitawala? Watu wa aina hiyo ndiyo wamo katika giza. Hawa huyaona mambo kama hawahusiki nayo.
Japo mzazi huchukizwa na kutukanwa na mtoto wake aliyemzaa, lakini hawezi kuacha kuambatana nae, lakini mambo ni tofauti kwa mtoto anaemkana baba na kusema, huyu siyo baba yangu.
Hivi ndivyo ilivyo kwa wote walio katika giza. Hawa wamemkana baba yao aliyewazaa, lakini wanataka baba aunganike nao.
 
UNAONGEA KANA KWAMBA UNAFAHUMU UKIONGEACHO...EBU THIBITISHA UWEPO WAKO KWAMBA ULIZALIWA....UKIWEZA HAPA ..NDIO UJE UULIZE VITU MUHIMU SASA
Kwanza ww unatakiwa uthibitishe kupaa kwa yesu. Unauliza maswali yasiyo na tija sasa nani ambae atashindwa kuthibitisha kama alizaliwa ilhali aliekuzaa yupo? Na tunajua fika kwamba kuna kitendo cha kuzaa sasa unataka kujenga hoja ipi mkuu??

Unataka nithibitishe uwepo wangu, unathibitika kwa kuonekana na kushikika kwa mwili wangu au we unatakaje? Tuonane nikwambie ndie mimi Bhagavan???

Wewe tuthibitishie hizo story zako za yesu kama alipaa?? Na utuletee mechanism iliyotumika yy kupaa. Acha kuongea vitu kwa uwepesi tu
 
Tuna tatizo la kujijua sisi ni nani na ni nini. Kama mtu hujuwi wewe ni nani na ni nini huwezi kujitawala. Kwasababu hijijuwi hivyo, huwezi kujitawala na kwahiyo hujioni wewe, lakini unawaona wengine.
Kwa sababu hatujuwi sisi ni nani na nini ndiyo maana tunawaona wengine na siyo sisi.
Mtu hajishughulishi kuhusu yeye ni nani na ni nini anawezaje kujijua kuwa yeye ni nani na ni nini? Kama mtu anashindwa kujijua yeye ni nani na ni nini anaweza kumjua Mungu?
 
R
Ni mtazamo wako si muhimu nikikwambia unakosea au unapatia.

Hayo mengine unayosema yapo automatic we unayaona ni ya kawaida tu na hayakufikirishi chochote,sasa hata kama tungekuwa tunamuona kabisa Mungu(achia kumjua tu automatically) ndio ingekuwa nini sasa?

Kwa sababu kama sasa hauoni chochote cha kukufikirisha kwa haya yaliyopo na kukuzunguka,basi sioni hoja ya wewe kutaka tumjue Mungu automatically.
Iwapo angetuumba tukawa tunamjua automatically kama ambavyo katuumbia kuhisi haja kubwa automatically, angepungukiwa nini?

Je,kwake yeye masuala ya haja kubwa ni muhimu kuzidi kujua uwepo wake kiasi cha kuyawekea u automatic ila kwake kumjua kukawa mpaka mchungaji au shehe?

Hujajibu maswali haya!
 
Kwa upande wangu naamini ile hofu na nguvu ya kuniongoza katika jambo fulani ndie mungu wangu kwa mfano kuna nyakati unafanya uonevu ila kuna hali ndani yako inakusihi usifanye *HUYO NDIO MUNGU WAKO WEWE* na hili jambo hulatibiwa na kifua kama ni moja ya zile sehemu zenye nguvu sana katika mwili wa binadamu katika kuenya maajabu na miujiza mbalimbali. Kwahyo niconclud kwa kusema *MUNGU WAKO NI ILE HOFU NDANI YAKO*
 
R
Iwapo angetuumba tukawa tunamjua automatically kama ambavyo katuumbia kuhisi haja kubwa automatically, angepungukiwa nini?
Je,kwake yeye masuala ya haja kubwa ni muhimu kuzidi kujua uwepo wake kiasi cha kuyawekea u automatic ila kwake kumjua kukawa mpaka mchungaji au shehe?
Hujajibu maswali haya!
Nilikuuliza hivi:
"Hayo mengine unayosema yapo automatic we unayaona ni ya kawaida tu na hayakufikirishi chochote,sasa hata kama tungekuwa tunamuona kabisa Mungu(achia kumjua tu automatically) ndio ingekuwa nini sasa?"

Unaacha kujibu halafu unakimbilia kuuliza maswali wakati umeacha kujibu swali muhimu katika tunachojadili.
 
Zipo document za makubaliano ya kupewa uhuru ukizitaka utazipata. Kuna kingine unahitaj kuthibitishiwa?
sasa hizo documents si ndio maandishi au ni nini???? je hayo maandishi waliyoandika miaka hiyo mimi nitaiamin vipi kwamba kwel tulipata uhuru na tuko huru now?????
 
Kwanza ww unatakiwa uthibitishe kupaa kwa yesu. Unauliza maswali yasiyo na tija sasa nani ambae atashindwa kuthibitisha kama alizaliwa ilhali aliekuzaa yupo? Na tunajua fika kwamba kuna kitendo cha kuzaa sasa unataka kujenga hoja ipi mkuu??

Unataka nithibitishe uwepo wangu, unathibitika kwa kuonekana na kushikika kwa mwili wangu au we unatakaje? Tuonane nikwambie ndie mimi Bhagavan???

Wewe tuthibitishie hizo story zako za yesu kama alipaa?? Na utuletee mechanism iliyotumika yy kupaa. Acha kuongea vitu kwa uwepesi tu
kuzaliwa kupo kwa kuzaa tu?? kwakua unaonekana ndio unasema upo ..vipi mtu ambaye haoni anaweza kuamini kwel ww uppo ??? unasema unashikika vipi mtu ambaye hawez kuhis akikushika atahisi uwepo wako. umesema uniambie kwa meneno vipi ukimwambia mtu ambaye hasikii ataamin usemacho????.. bado majibu yako hayafit kudhitibisha kwamba upo... ebu toa maelezo zaid ...
 
sasa hizo documents si ndio maandishi au ni nini???? je hayo maandishi waliyoandika miaka hiyo mimi nitaiamin vipi kwamba kwel tulipata uhuru na tuko huru now?????
Huku ndipo nilitaka ufike na umefika sasa, vipi kuhusu yesu unaweza kuthibitisha?
 
Mtu ambae hawezi kujichungaza mwenyewe akajijua yeye ni nani na nini anawezaje kujitawala? Watu wa aina hiyo ndiyo wamo katika giza. Hawa huyaona mambo kama hawahusiki nayo.[/QUOTE ] Sasa kwa maana yako hii kati ya hizo pande ni yupi iliyemuona kashindwa kujichunguza au kafanikisha Katika hilo la kujijua..?

Japo mzazi huchukizwa na kutukanwa na mtoto wake aliyemzaa, lakini hawezi kuacha kuambatana nae, lakini mambo ni tofauti kwa mtoto anaemkana baba na kusema, huyu siyo baba yangu.
unaweza kuthibitisha kuwa huyo mzazi yupo..?

Hivi ndivyo ilivyo kwa wote walio katika giza. Hawa wamemkana baba yao aliyewazaa, lakini wanataka baba aunganike nao.
Thibitisha kwanza uwezekano na uwepo wa huyo mzazi

Kisha ndio utuleze umewezaje kubaini kuwa hawa wapo upande wa giza kisha na wale upande wa nuru_kwa kipimo kipi..?
 
Huku ndipo nilitaka ufike na umefika sasa, vipi kuhusu yesu unaweza kuthibitisha?
hujanijibu hapa...sasa hizo documents si ndio maandishi au ni nini???? je hayo maandishi waliyoandika miaka hiyo mimi nitaiamin vipi kwamba kwel tulipata uhuru na tuko huru now?????
 
Similar Discussions

34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom