Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Kwa hiyo uko tayari tutembee UCHI dunia nzima na tuabudu mababu zetu chini ya MITI? Hiyo ndio AKILI yako kweli???
Wewe siumesema kwamba kila kitu tumeiga kwa wazungu Au sio wewe Sasa unashangaa Nini kuhusu ulicho shauriwa wakati mwenyewe ndiye ulishauri tuache kufuata Mambo ya wazungu
 
Mi ukiweza kunithibitishia hizo sifa anazo pewa mungu kuwa hana basi nitakuona umefanya la maaana sana.

Nasubiri.
Zipo nyingi tu ,Mungu muweza wa yote

Hawezi kuumba dunia iliyojaa madhaifu kiasi hiki ,, huo uwezo wake wa yote una maaana gani Sasa!?
 
Hawa watu ni wa ajabu mno, muislam akimuona mkristo anakula kitimoto anasema Satan at work,
Mkristo akimuona muislam anaoa wake wanne na kutukuza majini, anasema Satan at work,

Mkristo na Muislam wakimwona mtu asiyemwamini huyo Mungu wao, wote kwa pamoja wanasema Satan at work......Sasa kwanini Muumba wa vyote aliumba kitu haribifu kama Shetani?
Daahh nimecheka Sana ,kwamba Kuna wakati huwa wanapingana wao kwa wao Ila inapotokea akajitokeza mtu anaye pinga uwepo wa mungu wao

Wote wanaungana pamoja na kuwa kitu kimoja Kisha wanaanza kumshambulia anaye pinga uwepo wa mungu !?
 
Kitu kinachonishangaza eti Mungu alimuumba Lucifer akiwa na uwezo mkubwa sana kiasi cha kujaribu mapinduzi Mbinguni.Badala Mungu amwangamize, yeye alimbadilisha jina kuwa Shetani na kumtupa Duniani ili binadamu dhaifu apigane naye,.....Hivi Mungu anaelewa anayoyafanya kweli?
Nimecheka Sana
 
Wengi humu mnabishana kimisimamo ila mi nimeomba uthibitisho.
Uthibitisho wa Nini kitu ambacho hakipo hakihitaji uthibitisho , unaweza kithibitisha kuwa duniani hakuna Samaki mwenye umbile la sokwe
 
......MUNGU hakumuumba shetani ili autese ulimwengu bali ni baada ya shetani kuasi ndipo laana ya MUNGU ikashuka juu yake,
Kumbuka uharibifu wa kwanza ulianzia mbinguni na hii ni baada ya Shetani kuasi.
Mungu mjuzi wa yote ilikuwaje akamuumba shetani Ambaye anajua kabisa atakuja kumsaliti !?
 
Sasa kitu ambacho hakipo una kithibitisha vipi kuwa hakipo
Mfano hapo ulipo endapo nikikuambia kuwa naomba unipe kikombe halafu ukatafuta kikombe ukakuta hakipo nikikueleza unithibitishie kuwa kikombe hakipo utathibitisha vipi !? Na wakati hakipo ,

Yaani kitu ambacho hakipo unathibitisha vipi kutokuwepo kwake !?
Kwanza hapo kuna vitu viwili, kuna kusema kikombe hakipo na kutafuta hicho kikombe. Kwa maana kutafuta kwangu hicho kikombe ndio kuliko nifanya kuwa na uhakika wa kusema hicho kikombe hakipo.

Sasa kwenye suala la Mungu ni nani alimtafuta huyo Mungu na kumkosa hivyo akajiridhisha hayupo ndipo akaja kusema hayupo?
 
Mungu mjuzi wa yote ilikuwaje akamuumba shetani Ambaye anajua kabisa atakuja kumsaliti !?
Kitabu kipi ambacho kinasema Mungu alimuumba shetani? Hakuna kiumbe kilichoumbwa kinaitwa shetani katika vitabu vyote.
 
Sasa kwenye suala la Mungu ni nani alimtafuta huyo Mungu na kumkosa hivyo akajiridhisha hayupo ndipo akaja kusema hayupo?

Kwanza kama yeye kweli ni Mungu muweza yote, kwanini mpaka watu wamtafute.?

Kwani tumemwambia tunataka kucheza kombolela na yeye.!
 
Uthibitisho wa Nini kitu ambacho hakipo hakihitaji uthibitisho , unaweza kithibitisha kuwa duniani hakuna Samaki mwenye umbile la sokwe
Binafsi sijawahi kumuona huyo samaki ila sijasema hayupo, hata sasa mkuu hapo kuna viumbe ambao hujawahi kuwaona wala kuwasikia hivyo haujawahi hata kuwafikiria ila unakuta wapo.

Kwahiyo ukisema kitu fulani hakipo lazima uwe na sababu au umewahi kukitafuta na kukikosa ila sio kujiamulia tu kusema hakipo.
 
Mungu mjuzi wa yote ilikuwaje akamuumba shetani Ambaye anajua kabisa atakuja kumsaliti !?
Hapo hata mimi napo datag kbsa.. kwanini aliweka tunda la mabaya duniani kama alikua hataki adamu na hawa wale..halafu kwanini alituchanganya na shetan duniani wakati anajua shetan alishaharibug hadi uko majuu mbingun?
 
Unaniuliza mimi tena ni suala la mtu mwenyewe kuona sababu ya kumtafuta au kutoona sababu ya kufanya hivyo.
Kwa mtindo huu inamaana tusifikie suluhu ya jambo hili

Kila mtu abaki anaeleaelea kwenye mawazo yake_au sio
 
Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.

Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.

Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?
Ujue Kabla ya wazungu Na waarabu hata huyo "mungu" tulikuwa hatumjui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom