Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Exactly [emoji419]
 
Unajichosha ndio kwanza tayari Mungu wako anajua kwamba wewe Ni mtu wa motoni au peponi Yaani Ni sawa sawa na wewe umpe mwanafunzi wako mtihani wakati unajua kabisa matokeo ya mtihani huo yatakuwaje Sasa hiyo ina maana gani !?
 
Unamfanyia ibada nani ? unaemfanyia ibada anamajibu yake kabla ya wewe ujaanza kufanya ibada ndio nikakwambia wewe unajichosha maana unaangaika na kitu ambacho tayari majibu yapo , yaani ww ufanye au usifanye tayari majibu yapo wacha kujichosha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Faida sio kwa Mungu, faida ni kwangu kwaio lazima nifanye ibada, yeye kujua mimi nakwenda wapi hainisaidii chochote, kwa sababu siku ya hukumu ataniuliza, "ulifany ibada hata uende peponi?" Wewe utajibu nini?
Kwanini akuulize wakati tayari anaijua hatima yako .. Huyo Mungu wako yuko timamu kweli !?
 
Kwani alishauriwa na nani asikuumbe wewe mchina ? ni mambo ambayo Ameamua mwenyewe kuyafanya kwa akili yake inavyopenda kuwa chilubi nitamtoa mwanaume kisha atakwenda motoni ova
Ova [emoji16][emoji16]
 
Tayari safari imeanza kukushinda. mi nilikuomba uwe unanijibu ila tayari unaanza kusepa.

Hakuna mahali ambapo panasema kuwa Mungu ameamuwa fulani aende motoni (kabla ya siku yake ya hukumu). Bali tunasema kuwa ANAJUA wewe utaishia wapi.
Oyaaa Mbona haueleweki Mungu mjuzi wa yote mwenye ukamilifu anashindwa vipi kujua kwamba huyu na yule Hawa Ni wa motoni na huyu na yule Ni wapeponi !?
 
Mimi naamini Mungu yupo lakini sio huyo wa wazungu na waarabu

Huyo ni wa ajabu sana, sikumuomba anilete hapa duniani, kanileta kwa mapenzi yake halafu anataka nitimize mapenzi yake

Yaani anilete kwa matakwa yake halafu anipe masharti ya kuishi si bora anirudishe nilikokuwa

Tusitishane
 
nani alikuambia kumtumikia Mungu huwezi umwa... kuumwa kwako au matatizo yake hayamuondele UMungu wake
[emoji16][emoji16][emoji16] Mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wa yote kwanini aumbe viumbe dhaifu wanao umwa alishindwa Nini kutumia ujuzi wake wa yote na uweza wa yote kuwaumba viumbe visivyo patwa na magonjwa !? Endapo tukisema kwamba Mungu Huyo ni Muongo tutakuwa tuna msingizia Maana anajisifu kuwa ana uwezo wa yote na ujuzi wa yote lakini ameshindwa kumuumba binaadamu na viumbe vingine ambavyo havipatwi na magonjwa
 
Enheee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Hapa wakristo na waislamu tutaungana subiri baadae

Aisee ... Hizi issue ni complicated sana ukubali au ukatae

Nashangaa sana ani .. Tunatumia Nguvu nyingi kumtetea mtu ambaye hajaokba tumtetee

Hivi ni wapi aliwahi tuombe tumthibitishe kama yupo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Mimi ninapopinga uwepo wa Mungu huwa naanza kupinga kwa kuwa specific kwamba Mungu ninayepinga uwepo wake ni Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Sizungumzii "Mungu, Mungu, Mungu" kijinga tu bila hata kum define kama unavyofanya wewe.

Sasa, wewe ukisema Mungu wako ni mavi yako yaliyopo ndani yako, siwezi kukubishia na kusema Mungu wako hayupo.

Kwa sababu mavi yako yapo, yapo ndani yako, na kama mavi yako yaliyo ndani yako ndiyo Mungu wako, Mungu wako yupo.

Lakini Mungu wako si Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
 
Kwaiyo ni mambo ambayo hayakwepeki hata ufanye jitihada gani kwasababu tayari umeshapangiwa iwe hivyo au una option ya kwenda kinyume?
[emoji16][emoji16]
 
Kujua sio kupanga. Mfano, unaweza kumuona mtoto ukasema "huyo atazima tv saivi" Akiizima TV manake wewe umepanga?
Oyaaa sihuwa mnasema kwamba maisha yetu ya hapa duniani tumeshapangiwa kila kitu mpaka vifo vyetu ..!?
 
Hujapangiwa wewe uwe muovu bali Mola wetu anajua kila kitu.

Yaani kujua kwake ni katika Elimu yake,na kujua kwake hakukuzuii wewe kutenda unachotaka yaani ametupa uhuru na uwezo wa kufanya tunayotaka.
Kwa hiyo Mungu hatupangii tena maisha !?

Simnasemaga kuwa maisha yetu yamesha andikwa katika vitabu na tayari tumesha pangiwa jinsi tutakavyo ishi duniani

Nyinyi watu Mbona huwa hamueleweki !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…