Kutokujua kwangu alilopanga Mungu kunanifanya nisijue kama amebadilisha maono. Naweza kusema kuwa maono yake Mungu ni mimi mtu wa peponi kwa sababu ameona kuwa nitakuwa nafanya ibada. Kwaio lazima nitazifanya izo ibada kwaio nitakuwa sijajihangaisha bali nitakuwa natekeleza kile kile alichokiona Mungu wangu.Umeshakubali kuwa kutokujua kwako akubadilishi kitu kabisa , sasa unachofanya ndio kujichosha sasa , kama vile ambavyo ukuta ausogei ndivyo ibada zako aziwezi badili chochote katika kile Mungu alichokupangia kabla ujaanza izo ibada zako rahisi kabisaaa
Ikiwa maono yake ni kwamba mimi ni mtu wa motoni (Allah aniepushie) basi bila shaka itakuwa sifanyi ibadi mpaka kufa kwangu na aliniona zamani kuwa nitakuwa naenda kinyume nae.