Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

THIBITISHA KUWA HAKUKUA MTU WA MWANZO NA WALA HAKUNA WA MWISHO.
Ukikubali kua hoja zako zilijibiwa na hakuna post sikuijibu ntakuthibitishia

unakubali hilo?

Maana hata hapa naweza kukithibitishia ukasema sijathibitisha
 
hahaha umenifanya nitabasamu asee, bora umejitanabaisha mwenyewe kuwa umechoka, kwani inaonekana hata BIBLE TAKATIFU hujasoma ndio maana swali la kwanza na la pili yote huna majibu yake ingawa majibu yote yapo bayana tena kwa uzuri sana kwenye Biblia.
Anyway Kwa Mungu mtoto mdogo hana mshahara wowote wa dhambi kwakuwa hajui alitendalo bado so watoto wadogo Ufalme wa Mungu ni wao Freely kabisa.
Kwa upande wa swali la pili Biblia pia imefafanua kwa kiwango cha kueleweka kwa amani kabisa, kwamba Bustani ya Edeni yaani dunia na vijavyo dunia vyote viliumbwa kwa manufaa ya Mtu (adamu na uzao wake yaani sisi). Adamu alikabidhiwa kuvitawala vyote chini ya nchi so baraka na laana ya vitu vyote ilikuwa connected mikononi mwa adamu, that's why kwa kutenda dhambi aliathirika yeye na vyote vilivyokuwa connected naye pia ikiwemo mbingu na nchi, wanyama na mimea na binadamu wote.(adamu alikuwa ndiye central main hub mzee) MUNGU YUPO, ANAELEWEKA VYEMA KABISA SEMA NI UCHAGUZI WA MTU TU KUTAKA KUMWELEWA AU KUTOMUELEWA sema yote hayo hufanyika kwa kipindi tu fulani cha ustawi wa maisha lakini muda unapowadia Mungu utamuelewa pasipo hata kuulizauliza hapa JF, kwani yeye ndiye anayepoint watu wala sio sisi.
 
Ukikubali kua hoja zako zilijibiwa na hakuna post sikuijibu ntakuthibitishia

unakubali hilo?

Maana hata hapa naweza kukithibitishia ukasema sijathibitisha
THIBITISHA KUWA HAKUKUA MTU WA MWANZO NA WALA HAKUNA WA MWISHO.
 
THIBITISHA KUWA HAKUKUA MTU WA MWANZO NA WALA HAKUNA WA MWISHO.
Ukishindwa mala ya kwanza ya pili fanya kusudi

Naona umekimbia hoja nilizokupa kwa kivuli kua hazijafata utaratibu uliotaka wewe ujibiwe kwasababu zimekuzidi kimo

Huwezi kukubali kua nimejibu kwasababu kukubali kwako kutakufanya uonekane umekimbia hoja zangu hiyo ni weakness yako
 
THIBITISHA KUWA HAKUKUA MTU WA MWANZO NA WALA HAKUNA WA MWISHO.
 
THIBITISHA KUWA HAKUKUA MTU WA MWANZO NA WALA HAKUNA WA MWISHO.
Hata usumbuki kuandika we una paste tu au siyo??

Sasa kwa kujua huwezi kukiri hilo kua hoja zako zimejibiwa na hutaki kuonekana kama umezishindwa. Basi acha nikuthibitishie unavyotaka ili kuufanya mjadala usonge mbele sasa sawa??
 
mfano mkuu ukiulizwa kwanini Mungu ameamua kujificha kabisa!!!hakuna ambaye amewahi kumuona.

utajibu kwa sababu ni swali,au utajibu jibu sahihi??
si kweli Mungu ameamua kujificha, na wapo watu kadhaa ambao wamepata Neema ya kuonana naye (lakini je ushuhuda wao utaukubali ewe mwana uliyeamua kuchagua upande wa kupinga?) Mungu anatuambie ....nikaribieni nami nitawakaribia, niiteni nami nitaitika, Lakini .... Maovu yetu yametutenga na Uso wa Mungu hata tusimuone. Je, unalazimisha kumuona katikati ya kiburi hiki cha kumpinga? Hutamuona isipokuwa kwa siku ya hasira yake tu! Anyway Wana wa Israel wali force sana kutaka kumuona live kama wewe, Siku ya tatu alipotokeza uwepo wake kwenye Mlima Sinai, waulize kilichowafanya wamwambie Musa kwamba "Hawataki tena Mungu ashuke kuonana nao bali Musa aendelee tu kufanya naye contact peke yake na wao waletewe ujumbe tu.
Mkuu, kwa Upande wa Manabii pia, Isaya, Yeremia, Daniel, Mtume Yohana, Mtume Paulo n.k wote walipata neema ya kuuona uso wake kidogo lakini jasho liliwatoka, na hata nguvu ya miguu kusimama haikubaki, walizimia nusu kufa bob!
MUNGU YUPO SEMA KUNA WALIOCHAGUA KUWA UPANDE WA KUKATAA NA DHAMIRI ZAO ZIKIPINGANA NAO.
 
Hata usumbuki kuandika we una paste tu au siyo??

Sasa kwa kujua huwezi kukiri hilo kua hoja zako zimejibiwa na hutaki kuonekana kama umezishindwa. Basi acha nikuthibitishie unavyotaka ili kuufanya mjadala usonge mbele sasa sawa??
THIBITISHA KUWA HAKUKUA MTU WA MWANZO NA WALA HAKUNA WA MWISHO.
 
Hivi ni lazima kila mtu aamini vitu tofauti? Mtu akijiamini si inatosha? Asubuhi njema
 
we hujichoshi ata ila kwa maelezo yanadai kuwa unapitia alichokipanga tayari ata ndo mana huwez kuamin na mjenga hoja anapitia yalioshapangwa... sasa ukibisha hili maana yake unabishia uwezo wa mungu kuwa sio mkubwa kiasi iko... mjengo hoja huenda mungu anaemuamin yeye anadai sio katiri ambae anaweza kuwa ameshapanga kukuadhibu kabla ww ujaanza kuishi.
 
Kuamini kwamba Mungu yupo it's all about "consciousness spirituality" kwahiyo ukitoa spirituality no religion will exist. Ndiyo maana wenyewe wanokataa, ukiwauliza watakujibu kutokana na kile ambacho "consciousness" yao inawaambia ndicho atakuwa Mungu wao kwa sababu hakuna mtu anayeisha bila "beliefs system" japo watakwambia Mungu hayupo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…