Tiger naomba ukasome tena kitabu cha mwanzo vizuri, halafu maelezo yako yanabase kwenye sayansi ambayo imekuja miaka mingi baadae kwa hiyo vyovyote utakavyohoji utarudi kwenye duara lile lile la msingi wa uungu na uwepo wake
Kitabu cha hadithi aliyosimuliwa nani? Where is the authenticity?
Authenticity ya uwepo wa Mungu au maandiko yake? mbona biblia iko wazi na inaeleweka mno?
kama unakubaliana kwa dhati kabisa na hiyo sentensi niliyotia red unaweza kutuambia mungu alikotokea?
Uungu wa Mungu umejithibitisha kwenye hayo maneno bila wao kujua hasa kwenye hayo maneno 'magically' na 'rearranged itself' hakuna kitu kinachofanyika chenyewe bila nguvu fulani! ni kushindwa kubaya sana huko kwa kusema vilitokea na kujipanga vyenyewe ukisoma BIBLIA takatifu inakupa mwanga kuhusu hilo hasa kwenye kitabu cha mwanzo mstari wa kwanza....Hapo mwanzo alikuwepo neno(conscious energy) naye neno alikuwepo kwa Mungu(conscious mind) naye neno alikuwa Mungu(conscios energy + conscious mind = conscious soul) na huu ndio utatu mtakatifu usiofahamika hata na wasomi mahiri wa elimu zote
Bado nakushauri Tiger kasome tena bible kama ukipenda kufanya hivyo kwakuwa kuna jibu kwa kila swali!
Nimeisoma ila nimeshindwa kung'amua hilo, pengine sina upako.
Nisaidie tafadhali.
Tiger kama umeshindwa kuelewa ni ngumu mtu mwingine yeyote kuweza kukuelewesha na ukaelewa yani ni sawa na kunywa cocacola halafu tubishane kuhusu ladha yake mimi niseme ni tamu sana na wewe useme ila sukari sana utakuta kimsingi tunamaanisha kitu kilekile ila kwa muktadha tofauti lakini wakati huohuo wewe ukipinga kuwa humaanishi hivyo
Umeongea mambo yasiyokuwa na maana.. Nani alishawahi muona Mungu sasa mpaka kusema tukifa tutakutana naeNi kweli mkuu kubishana hawa watu ni ngumu sana
jibu ni dogo wacha wafe wakakutane naye hukohuko ndo watajua
isitoshe hao wakina Darwins na wanzake wameshaujua ukweli huko walipo na wanatamani waje wa-withdraw/kutengua kauli zao za kuwa Mungu hayupo lkn Uhuru wakuja kusema hayo hawana tena.
Kama Atheist hawaamini hata kwa kuona
uumbwaji wa Dunia na vilivyomo na kuleta theory yao ya Big bang
Sasa ndo wataamini swala La Kiroho?
Maana hili ni swala kiroho ya mtu anavyotendewa na Mungu wake
mf: leo asubuh nakwambia usiku ni meongea na malaika, ushahidi wa maneno yangu hautakuwepo hata nikueleze vipi kamwe hutoamini kama tu umeamua kutoamini Bali ukweli utabaki ndani yangu mwenyewe kuwa leo usiku nimeongea na Malaika baaasi itabaki kuwa hivyo ila kamwe kwasababu sijakupa ushahidi audio or video tape ya maongezi yetu Ndo uniamishe kuwa hujaonana na malaika na wala hakuna kitu kama hicho bali ulikuwa unaota!! Haizekani kamwe!!
Hapana..atheism ni kutoamini mungu yupoAtheism ni imani kwamba mungu hayupo.
Atheism Kwa lugha rahisi ni ujingaIpo mijadala humu jukwaani kuhusu Atheism! Kwa bahati mbaya nimejaaribu kuifuatilia bila kufata maana halisi! Kwanza wachangiaji wanatumia kiingereza kigumu sana na wengi ni walewale.
Ukweli ni kuwa tupo wengi tusioelewa, Ombi langu kama nitaweza kupata maelezo ya undani kwa kiingereza rahisi kama sio kiswahili!