Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Jimena Tanzania daily tunakula nyama ya ng'ombe ni vigumu kabisa au ni kitu kisichowezekana kuwa ipite siku bila kuchinja ng'ombe na hakuna tatizo huku kwetu lakini imagine umchukue mhindu nyumbani kwako halafu umpe chakula chenye nyama ya ng'ombe uone reaction yake
My point is kwa mhindu ng'ombe ni Mungu kwa mswahili ni kitoweo huu ndio mtazamo ninaozungumzia
I know nothing kuhusu Hinduism, huwa nasikia maneno ya mitaani tu ambayo sina hakika kama yana ukweli ndani yake.
 
Belief.JPG


belief 2.JPG


Disbelief.JPG


View.JPG
 
Correction Mr Mshana na kwa wengine ambao hawafahamu.

Hinduism haiabudu ng'ombe wala hana nafasi katika deity wa hinduism. Ng'ombe anakuwa mnyama anayeheshimiwa kama sacred kwa sababu ya symbolism iliyobebeka tangu zamani katika India. Pia ilikuwa ni kama kipimo cha mali (mfano hata sisi tuna makabila ambayo yanaona ng'ombe ni dhamani na wana count utajiri kupitia idadi ya ng'ombe). Hivyo India zamani ng'ombe walikuwa hawauawi na wanaachwa katika matumizi ya maziwa, butter na mafuta. Pia ilikuwa sign of power.

Ng'ombe ana symbolism ya fertility. Anatoa maziwa kutunza mwanae, anatoa maziwa kwa mfugaji wake, ng'ombe ana upendo kwa mwanae na hata mwanae akifa atagoma kutoa maziwa. Ni sign of love kwa kutoa maziwa yake kutunza mtoto na kumpa mfugaji kwa pamoja bila hasira. Krisha ambaye ni mojawapo wa Deity wa kihindi alipokuwa mdogo alitunzwa kwa maziwa ya ng'ombe na hata alipokuwa mwalimu wa imani alipenda kutumia mfano wa upendo wa ng'ombe kukumbuka maisha yake alivyotunzwa kwa upendo wa ng'ombe aliyemuona kama mwanaye huku akitoa 'ombe maziwa kwake na kwa ndama wake. Krishna akaitwa protectors of cows. Akapinga kuua ng'mbe na ndipo heshima juu ya ng'ombe ilipoanza na mpaka leo.

Hivyo ng'ombe haabudiwi bali anaheshimiwa. Katika kuheshimu symbolism hiyo hawaui ng'ombe kwa symbolism iliyohadithiwa kupitia mfano wa ng'ombe.
Asante sana mkuu Apollo kwa kunipa mwanga kuhusu wahindu, haya mambo ya wahindu na ng'ombe nimekuwa nikiyasikia tu mitaani na sikuwahi kukutana na mtu ambae anafahamu kuhusu Hinduism ili anipe ufafanuzi.
Namaste brother
 
View attachment 398939View attachment 398940 Apollo nimekuwekea hizo link ili uone mkanganyiko
Well thanks kwa mitazamo yako sir. Kutokana na nature ya link yako ya kwanza ivyosema maana ya Agnostic ni atheist sio kweli. I hope kuna dictionary mbalimbali officials ambazo zinaweza kutoa maana. Pia imesema ni Disbelief. So back to my main question, how can disbelief become the same as belief? And that is where ninapopenda kufahamu views zako kwa kina juu ya hii makala.
 
Asante sana mkuu Apollo kwa kunipa mwanga kuhusu wahindu, haya mambo ya wahindu na ng'ombe nimekuwa nikiyasikia tu mitaani na sikuwahi kukutana na mtu ambae anafahamu kuhusu Hinduism ili anipe ufafanuzi.
Namaste brother

Namaste Jimena
 
Unajuaje kwamba siko bongo?

Au una assume tu kama unavyo assume Mungu yupo?
Unaweza kuthibitisha kuwa na assume kuwa mungu yupo?

Au mavi yashakuchanganya huko kwenye nchi za watu?
 
Unaweza kuthibitisha kuwa na assume kuwa mungu yupo?

Au mavi yashakuchanganya huko kwenye nchi za watu?
Una assume kuwa Mungu hayupo kwa sababu huwezi kuthibitisha yupo.

Unaweza kuthibitisha sipo bongo?
 
View attachment 395344

kwenye ulimwengu wa vipimo kuna ujazo mbalimbali kama robo nusu na kitu kamili nk.. nusu mbili hutengeneza kitu kamili robo mbili hutengeneza nusu.

Kuna kamchezo ukimtuma mtu asiye mwaminifu akuletee kitu kinachohusika na vipimo kupiga bao! Ukimtuma kilo moja yeye ataleta nusu na robo.

Duniani tuna imani mbalimbali kuanzia zinazoabudu Mungu mmoja,miungu vitu vinavyoonekana hata masanamu kwenye hizi imani kuna mitifuano na mikanganyiko mingi tuu..lakini kiboko ya imani zote ni hii isiyomwamini Mungu mmoja

Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja

Hii ni imani isiyotimia isiyojua dhima yake mwanzo wake wala muktadha wa nini inasimamia

Ni imani chongo yenye kengeza barobaro...ikiamini isichokiamini..ikifuata isichokijua

Je atheism ni;
Kuabudu miungu?
Kuabudu shetani?
Kuabudu masanamu?
Kuabudu vitu ?
Ama kutoabudu chochote?

Kila imani ina maelezo fulani kwenye chochote na kila swali lina jibu lake tusiiweke sayansi kwenye kundi la imani..hili ni Somo kama masomo mengine

Kutoamini chochote ni mkanganyiko tu wa akili kwakuwa mwisho wa siku utajikuta unaangukia kwenye imani yoyote japo kwa kificho na imani ya kutoamini chochote ni imani isiyotimia
Huna unalolijua mshana tulia tu ndugu yangu,Labda uendelee kuwatisha watu kuhusu uchawi ndicho unachoweza nadhani
........Free ideas...
 
Huna unalolijua mshana tulia tu ndugu yangu,Labda uendelee kuwatisha watu kuhusu uchawi ndicho unachoweza nadhani
........Free ideas...
Huwa siwajibu wapuuzi! Nimefanya hivi ivi leo ili siku nyingine ukiona sijakujibu usishangae
 
Back
Top Bottom