Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Hebu jiulize kwanini atheist wanatumia nguvu nyingi sana kupinga Mungu hayupo? Wanaandika vitabu, documentaries, interviews, kupinga tu uwepo wa Mungu.
Nani amewatuma while hakuna mtu anaelazimisha mtu imani. Hata Mungu mwenyewe, kwa uwezo alio nao akitaka anaweza kujionyesha kwamba yupo. Lakini ameamua watu watake kumfuata kwa imani.
Life is full of choices, ni kuamua tu, na Mungu ameruhusu hivo, uamue mwenyewe. Ndio maana hata watu wanaofanya mambo mabaya duniani wanaishi kwa raha na pengine matajiri kuliko wanaofuata dini
Lakini kitakachompata mtu, kwenye maisha haya, na hata ya baada ya kifo, yupo accountable mwenyewe. Ukiwa mwizi kitakachokupata siku ukikamatwa utajibu mwenyewe.
Ila tu, Mungu ameweka standards za mtu anaetaka kumfuata, ndio maana kuna Bible, Holy Spirit anaetuongoza kwa Mungu, Quran nk.
Ukiamua kumfuata Mungu, there is alot of resources ambazo sipo miaka na miaka. And He has open hands waiting for us. Ni choice yako tuu.

Yes. Tatizo kubwa watu wanapenda kulazimishiana kuwa kila mmoja anaona yupo sahihi.

Sio tu atheists ndio wanalazimisha wenzao hata kuna theists wanaolazimisha kufanya atheism ni wrong. Kila upande unaona upo sawa.

Lakini at the end, what matters is not you believe in god or not, it is how you lived. It is you actions.

Anayeamini mungu na asiyeamini mungu wakipanda mbegu za mchungwa watavuna machungwa. Walipanda mawe watakuta mawe vile vile. Hakuna something kuonyesha anayeamini mungu amevuna machungwa hata kama alipanda mawe. Ndio maana kuna atheists wanakutana na taabu za maisha na theists wanaokutana na taabu za maisha na experience nzuri za maisha. Hakuna hali ya kusema wenye imani fulani wana maisha mazuri au mabaya kwa sasa. Kila mtu anavuna anachopanda regardless what they believe.

What is important is your actions. No matter what you do, you will reap it. Every action has a reaction with the same frequency and rate as the action. Either from this life or next life(afterlife).

Kulazimishana imani does not change anything kama matendo ni mabaya. Hata kama mtu awe na imani gani.
 
Wow, seriously? Halafu unakuta mtu anakuona kama hujui au mbishi na huelewi kumbe umepita level nyingi na unafahamu na experience nyingi juu ya kitu unachokizungumzia.

Kwanini ulibadilisha mtazamo?
Ila Atheists wengi humu inaonekana wametokea kwenye imani moja sijui kwanini.
 
Ila Atheists wengi humu inaonekana wametokea kwenye imani moja sijui kwanini.

Seen.

Hata mimi nimegundua hilo. Wengi wametoka katika imani moja au mbili ambazo ni maarufu kwa Africa. Hasa ukristu. Na ukiwachunguza utagundua sometime wapo kama wanapinga mungu fulani katika imani fulani na sio mungu kama as a source or something beyond religions.

Mimi huwa naona atheist aliyetoka katika imani moja sio mtaalam. Bora atheist aliyesoma imani nyingi na akaamu kuwa atheist kuliko kutumia mapungufu ya imani moja na kusema unakuwa atheist. Ni sawa na kuwa atheist kwa sababu umeona creation haielezei uumbaji na haina ushahidi. Je kama kuna imani nyingine haielezei uumbaji wa creation lakini ina reason ambazo ni logic?

Its a problem.
 
Wow, seriously? Halafu unakuta mtu anakuona kama hujui au mbishi na huelewi kumbe umepita level nyingi na unafahamu na experience nyingi juu ya kitu unachokizungumzia.

Kwanini ulibadilisha mtazamo?
Watu wanaosoma dini kwa undani wengi wanagundua kwamba ni uongo.

Hata wanaoamua kubaki kwenye Imani wanabaki humo si kwa sababu wanaamini Mungu yupo, wanabaki kwenye Imani kwa sababu wanaamini Imani ina uwezo mkubwa na mzuri wa kuwafanya watu waishi kwa order.

Watu wengi wakijua ukweli kwamba Mungu hayupo watashindwa kuishi maisha ya order.

Hilo ndilo linafanya wengi waliosoma dini/ theology wabaki kwenye Imani.

Si ajabu Papa akawa haamini Mungu yupo, ila anaamini kwamba kuna umuhimu wa kusema yupo.
 
Ila Mungu yupo ktk nafsi 3 za; Baba, Mwana na Roho mtakatifu.

Nani kakwambia?Mungu alijieleza hivyo?Una uhakika?

Nipe evidence aliposema hivyo...

Hizo ni doctrine ulizomezeshwa zikakukaa kabisa,huwezi kuzisanifu na kujua uhalali wake
 
Mwanzo umeniambia siwezi kuthibitisha,sasa hivi unaniuliza kama naweza kuthibitisha?
Ni katika kuthibitisha zaidi kwamba huwezi kuthibitisha.

Unaendelea kupewa nafasi uthibitishe. Hili linaonesha sikunyimi nafasi ya kuthibitisha.

Kwa sababu najua huwezi kuthibitisha.
 
Watu wanaosoma dini kwa undani wengi wanagundua kwamba ni uongo.

Hata wanaoamua kubaki kwenye Imani wanabaki humo si kwa sababu wanaamini Mungu yupo, wanabaki kwenye Imani kwa sababu wanaamini Imani ina uwezo mkubwa na mzuri wa kuwafanya watu waishi kwa order.

Watu wengi wakijua ukweli kwamba Mungu hayupo watashindwa kuishi maisha ya order.

Hilo ndilo linafanya wengi waliosoma dini/ theology wabaki kwenye Imani.

Si ajabu Papa akawa haamini Mungu yupo, ila anaamini kwamba kuna umuhimu wa kusema yupo.
Sasa kusoma dini moja kwa undani na kuibuka na madai ya kusema hakuna mungu we unaona ni sahihi?

Maana humu wapo waliyosoma sana dini na hata wasiosoma sana dini lakini tatizo wengi ni imani moja.
 
Ni katika kuthibitisha zaidi kwamba huwezi kuthibitisha.

Unaendelea kupewa nafasi uthibitishe. Hili linaonesha sikunyimi nafasi ya kuthibitisha.

Kwa sababu najua huwezi kuthibitisha.
Si suala la kunipa Mimi nafasi,ni suala la wewe kuthibitisha kuwa mimi na assume kuwa mungu yupo.
 
Sasa kusoma dini moja kwa undani na kuibuka na madai ya kusema hakuna mungu we unaona ni sahihi?

Maana humu wapo waliyosoma sana dini na hata wasiosoma sana dini lakini tatizo wengi ni imani moja.
Theology ni dini moja?

Unafahamu maana ya theology?
 
Mwishon ndo umeharibu unafanya maomb kwa namna unayoijua ww lakin hujui kaz ya maombi.kaz ya maombi ni kuachilia nguvu za kimungu(kwa mwamin) na nguvu hzo mungu huzitumia kujibu utakalo kwa kuwa mungu huutawala ulimwengu kwa kutumia wamwaminio.hoja c mungu kuckia kama ni hivyo haina haja ya kuomba kwakuwa mungu anayajua utakayo kabla hujaomba hivyo bac hatuombi ili mungu atuckie.lakin pia kuna aina za maomb na namna ya kuomba.nikusih sasa mm nimepewa neema ya siri hii nawe tafuta kwa bidii kuucaham ufalme wa kimungu na sliha zake.kuomba pia ni iman
 
Dini ni imani, ukitaka kumshirikisha mtu katika imani yako mjenge kiimani. Usiione imani yako ndio sahihi. Atheist hawana imani nusu na robo. Ni watu wa mwanzo kuamini uwepo wa dini lakini wakikua ni wa kwanza kutoka. Ni pale wanapoanza kupata uelewa na kuanza kuhoji kwa nini na kwa vipi. Imani haina majibu kwa maswali yao na hapo ndio hujitoa kuendelea na maswali yao yanayowapeleka kwenye ugunduzi wa mambo mengi. Usiwalaumu, nao ni imani yao kuwa hakuna mungu.
 
Back
Top Bottom