Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

Atakuhakikishiaje wakati wewe unasema mungu anajipinga hivyo hawezi kuwepo.
Ameweza kuondoa hiyo contradiction?

Kutoweza kuondoa hiyo contradiction ndiyo kutoweza kuthibitisha.

Mimi nasema pembetatu duara haiwezi kuwepo, kwa sababu pembetatu si duara na duara si pembetatu, pembetatu haiwezi kuwa duara kwa wakati huo huo, kama inaweza thibitisha inawezaje.

Wewe unaniambia atanithibitishiaje wakati mimi nimesema pembetatu duara inajipinga hivyo haiwezi kuwepo?

Damn right.

Kushindwa kwake kunithibitishia kwamba pembetatu duara ipo, kwa sababu inajipinga, ndiyo kunazidi kuonesha kwamba haipo.

Ingekuwepo, kungekuwa na namna ya kuonesha ipo.
 
Nimeuliza, have you searched the entire universe ili mje na hitimisho kwamba hakuna Mungu. Kuna mtu alishafika kwenye sayari ya Jupiter, kwa mfano, au ni maeneo yepi mlitarajia kumkuta Mungu.
Kwa nini ni search popote wakati washasema Mungu haonekani kwa macho?
 
Ameweza kuondoa hiyo contradiction?

Kutoweza kuondoa hiyo contradiction ndiyo kutoweza kuthibitisha.

Mimi nasema pembetatu duara haiwezi kuwepo, kwa sababu pembetatu si duara na duara si pembetatu, pembetatu haiwezi kuwa duara kwa wakati huo huo, kama inaweza thibitisha inawezaje.

Wewe unaniambia atanithibitishiaje wakati mimi nimesema pembetatu duara inajipinga hivyo haiwezi kuwepo?

Damn right.

Kushindwa kwake kunithibitishia kwamba pembetatu duara ipo, kwa sababu inajipinga, ndiyo kunazidi kuonesha kwamba haipo.

Ingekuwepo, kungekuwa na namna ya kuonesha ipo.
Kwanza sijazungumzia habari za pembe tatu, na hiyo contradiction ni wewe ndiye uliyeibatiza. Mtu ambaye unasema watu kufa ni kujipinga kwa mungu halafu unang'ang'ana iyondolewe hiyo contradiction na wala hutaki kuelezwa chochote.
 
Bishana na mtu mwenye hoja yakinifu sio rigid na mwenye personal attacks unapoonyesha msimamo wa kutoburuzwa!Kuwa kama mimi!
nawajibu wengine lakini bado mtu kinamkera kwakuwa tu umekuwa na msimamo tofauti na yeye...
Kichekesho ni kwamba tunatofautiana mitazamo lakini mtu anakulazimisha ukubaliane naye as if yeye ni super thinker! What a stupidity..! Unachofanya ni kuvumilia vijembe na mipasho yake hata akudiss kiasi gani.!unapotezea ili mpuuzi awe yeye, unachofanya unakuwa kimya kabisa
 
Najaribu kumuonesha upuuzi ambao unafanya mada hizi zisiwezi kufika mbali kwa hoja zisizo na maana.

Ila jamaa umemtoa sana mapovu..hahaha
 
Kwanza sijazungumzia habari za pembe tatu, na hiyo contradiction ni wewe ndiye uliyeibatiza. Mtu ambaye unasema watu kufa ni kujipinga kwa mungu halafu unang'ang'ana iyondolewe hiyo contradiction na wala hutaki kuelezwa chochote.
Unaelewa kwamba Mungu wako ana contradiction?
 
Wapi nimesema kwamba nilichonukuu ni jibu la swali ambalo hujaulizwa?

Unajua kusoma?
Ulisema sijajibu nililoulizwa na nililojibu si nililoulizwa.

Yani sijajibu swali lako ila nimejibu nisiloulizwa.
 
Hapo ndipo unapokosea.

Kusema kwamba hujajibu uliloulizwa na ulilojibu si uliloulizwa hakumaanishi umejibu swali lolote uliloulizwa.

Ushaelewa.

Unaweza kuwa hujajibu swali uliloulizwa, ulilojibu si uliloulizwa, ulilojibu si jibu la swali lolote ambalo umeulizwa na ulilojibu si jibu la swali lolote in context.

Kwamba umejibu post hakumaanishi umejibu swali.

Naweza kuuliza 1 + 1 = ?

Ukanukuu na kujibu "blue".

Hujajibu swali uliloulizwa ingawa umejibu post.

Swali uliloulizwa hujalijibu. Ulilojibu si uliloulizwa.

Hilo halimaanishi kwamba kuna swali ambalo jibu lake ni hilo in context.

Labda kama unavuta uyoga uliotiwa tindikali.
 
Psalm 14:1 and psalm 53 :1 a fool one, said in heart that there's no God
The real fool here is the one who is so afraid of being labeled a fool, but is not afraid of actually being a fool.
 
Hapo ndipo unapokosea.

Kusema kwamba hujajibu uliloulizwa na ulilojibu si uliloulizwa hakumaanishi umejibu swali lolote uliloulizwa.

Ushaelewa.

Unaweza kuwa hujajibu swali uliloulizwa, ulilojibu si uliloulizwa, ulilojibu si jibu la swali lolote ambalo umeulizwa na ulilojibu si jibu la swali lolote in context.

Kwamba umejibu post hakumaanishi umejibu swali.

Naweza kuuliza 1 + 1 = ?

Ukanukuu na kujibu "blue".

Hujajibu swali uliloulizwa ingawa umejibu post.

Swali uliloulizwa hujalijibu. Ulilojibu si uliloulizwa.

Hilo halimaanishi kwamba kuna swali ambalo jibu lake ni hilo in context.

Labda kama unavuta uyoga uliotiwa tindikali.
Sasa mie nilichojibu ni kipi? Maana unaongea pumba tu et ukiulizwa 1+1=? ukijibu "blue" et bado haujajibu swali.
 
Back
Top Bottom