Sasa endelea kuedit mpaka hadithi zote zitoke na ibakie realityNimeedit na kuongezea nyama
Tatizo ni pale unapodhani kuwa atheist wote wana mitazamo ile unayoifikiria wewe. Ila nimefurahishwa kidogo na edit uliyofanya na nadhani utaendelea kuedit kidogo kidogo kadri unavyozidi kuelewa huhusu hii kitu uliyoiita imani nusu na robo
Jimena kwanini unataka kuwa rigid? Hivi unajua kuwa hii ni mitazamo tuu?kwanini unataka kupractice extremism?Tatizo ni pale unapodhani kuwa atheist wote wana mitazamo ile unayoifikiria wewe. Ila nimefurahishwa kidogo na edit uliyofanya na nadhani utaendelea kuedit kidogo kidogo kadri unavyozidi kuelewa huhusu hii kitu uliyoiita imani nusu na robo
Eid Mubarak
Jimena Tanzania daily tunakula nyama ya ng'ombe ni vigumu kabisa au ni kitu kisichowezekana kuwa ipite siku bila kuchinja ng'ombe na hakuna tatizo huku kwetu lakini imagine umchukue mhindu nyumbani kwako halafu umpe chakula chenye nyama ya ng'ombe uone reaction yakeSasa kwani kitu kikiwa ni mtazamo tu ndo hakihitajiki kuwa sahihi??
Sorry nilikuwa offline twende kule...nimefika kule sijaona kitu...naweza bila shaka kusema ndio ni imani
Kujibu maana yake ni nini?Sasa mie nilichojibu ni kipi? Maana unaongea pumba tu et ukiulizwa 1+1=? ukijibu "blue" et bado haujajibu swali.
Kujibu maana yake ni nini?Sasa mie nilichojibu ni kipi? Maana unaongea pumba tu et ukiulizwa 1+1=? ukijibu "blue" et bado haujajibu swali.
Mkuu Mshana:
Hakuna shida kwa Atheists kutoamini kwamba Mungu yupo.Kumuamini Mungu ni jambo linaloweza kutokea muda wowote,mahali popote na kwa hata tusiyowatarajia.Hapana ubishi kwamba Mungu yupo na "project" yake ya kuhakikisha kila mtu anarudi kwake(kwa kuwa kila mmoja ametoka kwake) sio jambo dogo hata kidogo.Linafanyika ukiwa conscious or subconscious na hata completely unconscious(dead).
Hao Ma-atheist sio ajabu hata muda wa kuondoka kwao duniani hupewa nafasi ya kukiri kwamba huyo ambaye walikuwa hawamkubali ndiye ana-end up sasa life span yao.Unakumbuka jamaa mmoja katika wale waliokuwa wamesulubiwa pamoja na Yesu "alivyoiba" Mbingu dakika za mwisho mwisho? Hii inatufundisha jambo kubwa sana.Hakuna anayejua mtu wakati wa kuondoka duniani huwa anaongea nini na Mungu wake. Kinachoongea na Mungu ni nafsi sio mdomo wala miguu ile inayompeleka mtu kanisani.Mungu ana-deal na nafsi ya mtu zaidi.Ndio maana huwa nawashangaa watu wanaomba kwa makelele wakifikiria ndo "signal" za maombi yao zinamfikia Mungu.Mtu yuko peke yake lakini anapayuka payuka mithili ya Simba nyikani eti yuko kwenye maombi. Mungu "anasikia" hata undetectable/unquantifiable frequencies za maombi yetu.
Jimena Tanzania daily tunakula nyama ya ng'ombe ni vigumu kabisa au ni kitu kisichowezekana kuwa ipite siku bila kuchinja ng'ombe na hakuna tatizo huku kwetu lakini imagine umchukue mhindu nyumbani kwako halafu umpe chakula chenye nyama ya ng'ombe uone reaction yake
My point is kwa mhindu ng'ombe ni Mungu kwa mswahili ni kitoweo huu ndio mtazamo ninaozungumzia
Apollo pls don't tease me naomba twende kwa hoja na kupingana kwa weledi rejea tafsiri ya kamusi kuhusu agnosticism
It's a beliefCome on Sir, sina ubishi. Najifunza. Pia ninajua unajua maana yake.
Kwa tafsiri ya ujumla Agnostic unlike Atheists na Theists yeye hayupo upande wowote. Agnostic ni sawa na kusema "sijui kama mungu yupo wala sijui kama hayupo".
Ninapenda nijue kwa sababu mada yako imewalenga atheists, ndio maana nikaja na swali je ambaye haamini wala hapingi uwepo wa mungu wala miungu na kusema "I Don't Know", is it a belief?
It's a belief