Atheism: Imani nusu na robo

Mshana naomba ututake radhi aisee... Sisi hatuamini kwamba Mungu yupo, si kwasababu haonekani... bali kuna sababu zaidi ya 100.
 

I know nothing about science? I can smell your egregious pompousness pal.

I still hold firmly what i've said science is still in infancy for being used as a basis of dismissal of God's existance, maybe i owe you more explanations to demystify my assertion so that you could get what i intetionally meant. Science can not be totally relied upon to generate our rationale since it's limitations and some of its findings are not dogmatic. The fact of today is false of tomorrow eg.when you were at primary level of school you were keeping told that there are only nine planets in the solar systems but what do they tell you today!?

Does the science carry full evidences about everything we know today!?? hapa jibu ni absolute no na hata wewe mwenyewe huwezi kuwa na jibu jingine zaidi ya hili.....science does not create the laws it just postulates what it observes in laws of nature and i know your quantum physics can't give us the original creater of force of gravity, if you disagree elucidate to me now.

Mr.Newton alivyoweza kuigundua force of gravity na kuipachika jina analotaka yeye ambalo leo hii wote tunaaccept na hiyo haimanaanishi kwamba force hiyo haikuwepo bali ilikuwepo isipokuwepo hakuna anaefahamu ni nani kaileta.

Start with a nature....is nature a creation or eternal and has always existed?
Kama jibu ni creation, ni vitu vipi au ni nani anaeyeunda hiyo nature na kama jibu ni eternal ni kipi hasa kinafanya the nature to eternally exist!?

Can you prove in the laboratory how the ceasation of all bilogical reactions in human body takes place with your naked eyes?

Kwanini unaona hayo mafanikio ya kisayansi uliyoyataja yanatosha kabisa kwamba sasa sayansi inaweza kutumika kama ground ya kupinga uwepo wa Mungu? na hapa ndio dhumuni la post yangu limelalia huko kwingine kote nimejaribu kukuelewesha tu alafu unaonekana unasoma maelezo yangu kwa haraka haraka tu bila kuelewa hili uireply.

Hilo swali uliloniuliza wewe hapo kwenye last paragrah limekaa kibishani na hasa kiimani kwani hapa sijasema Mungu wa nani yuko sahihi na wanani sio sahihi so ni muendelezo wa kujionyesha wewe ni misconstruer.
 
Nani kasema unalazimika kunijibu?

Unajua kusoma wewe?
Ingekuwa silazimiki basi ungenijibu kwanza na sio kwamba hadi mie nikujibu ndiyo nawe unijibu,huoni kuwa hapo nalazimika kukujibu?

Au we unajua kusoma ila hauelewe maana ya hicho unachokisoma? maana kujua kusoma haina maana unaelewa usomacho.
 
Ingekuwa silazimiki basi ungenijibu kwanza na sio kwamba hadi mie nikujibu ndiyo nawe unijibu,huoni kuwa hapo nalazimika kukujibu?

Au we unajua kusoma ila hauelewe maana ya hicho unachokisoma? maana kujua kusoma haina maana unaelewa usomacho.
Unalazimikaje?

Sijakushikia bunduki, sijaku blackmail, sijasema usiponijibu nitakufungia akaunti yako.

Unalazimika kunijibu kwa minajili gani?

Unafahamu kulazimika maana yake ni nini?

Unalazimika vipi kunijibu?

Ukiamua usinijibu uamue uende kulala sasa hivi, nitakulazimishaje unijibu?
 
Kulazimisha hakuhusiana na hivyo vitu ulivyotaja,ila unaweza kutumia hivyo vitu kutishia kwa kulazimisha kitu.
 
Habari za kumuhusu Mungu ni za KUSADIKIKA, na hazina ukwel wowote ule.
Kwa mfano nikikwambia UTHIBITISHE hautaweza, zaidi ya kuleta Hekaya hapa.
 
Unakataa kuniambia wewe ni nani humu hadi uniulize maswali kwa aina hapo mwanzo kwa kutaka hadi nikujibu maswali yako.
Hujanionesha nilivyokulazimisha. Mimi nimekuuliza, unaweza kujibu, unaweza kupotezea.

Unaweza kunionesha nilivyokulazimisha?

Hujanionesha bado.
 
Una hakika atheists wote hawaamini Mungu kwa sababu hawajamuona?

Au kufikiri hivyo ni matokeo ya kukosa elimu kwako tu?
wote ni matokeo ya jamaa wachache walijifungia na kufafanua vitu ambayo hwavielewi na kujipatia wafuasi wasiohoji mizizi ya wanachokihubiri dunia nzima. Ndio maana karibu wote walikufa hawajapata majibu ya wanachodhani wanakijua na kuwaacha wafuasi wakitapataba with surface evidence.
 
Mkuu, hili jambo linafanana sana na je, secret societies(like Illumiati) ni dini?
 
Macho yako yamejaa ujinga, uongo na uvivu, sishangai kama ukiwa huoni tatizo.
Mr Kiranga hili neno "mjinga unalitumia vibaya.

Mjinga ni mtu ambae akieleweshwa anaelewa.

Lakini kuna neno "M P U M B A V U" ambalo huitwa mtu ambae hata akieleweshwa haelewi japo unakuta unamuelewesha jambo rahisi tu.

Sasa hapa unapoteza muda kumwelewesha mtu jambo wakati amejitia upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…