Atheism: Imani nusu na robo

Atheism: Imani nusu na robo

bado unazidi kuandika hisia na mitazamo binafsi wewe ndio ulitaka kunitoa kwenye mada husika nikakulazimisha kubaki hapo sasa unakuja na poor reasoning kama hii! Duu...!
Umeandika

Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja

Unakubali kwamba hiki ulichoandika na ambacho mpaka sasa hujakisahihisha ni ujinga na uongo?
 
Suala la imani ni kitu cha binafsi mno kwahiyo utaamua kuamini au kutoamini kutokana na vile utakavyoona wewe mwenyewe na kwa uamuzi wako binafsi baada tu ya kujiridhisha
Je kuto kuamini ni imani?
 
Umeandika

Unakubali kwamba hiki ulichoandika na ambacho mpaka sasa hujakisahihisha ni ujinga na uongo?
Usirudie kuuliza kama unaona ni ujinga na uongo unaandika kinyume chake kinyume cha ujinga na uongo
..kuendelea kuniuliza mimi haitasaidia kwakuwa nina hakika nilichoandika sio ujinga wala sio uongo
 
Usirudie kuuliza kama unaona ni ujinga na uongo unaandika kinyume chake kinyume cha ujinga na uongo
..kuendelea kuniuliza mimi haitasaidia kwakuwa nina hakika nilichoandika sio ujinga wala sio uongo
Atheists wote hawaamini kuwapo kwa Mungu kwa sababu haonekani?
 
Ina tegemea una maanisha nini ila kama ni kwa muktadha wa kidini kutoamini pia ni imani iliyo kinyume na kuamini

Kipara ni mtindo wa kusuka?

Kwa nini kutoamini kukiwa imani ni issue?
 
Usiendelee kuuliza andika unachofahamu
Unakataa nisiulize kwa nini?

Kwa sababu huna majibu?

Unataka niandike ninachofahamu?

Wewe ni mjinga.Ni mjinga kwa sababu unafikiri atheists wote hawaamini kwamba Mungu yupo kwa sababu haonekani.

Ni mjinga kwa sababu unaongelea atheists wote wakati huna jinsi ya kuwajua atheists wote.

Ni mjinga kwa sabau unapotosha watu bila uchunguzi.

Ni mjinga kwa sababu huna udadisi wa kutaka kujuzwa ujinga wako uko wapi hata unapoambiwa ni mjinga.

Ni mjinga kwa sababu umeiachia ego yako ikutawale na isikupe nafasi ya kujifunza kuondoa ujinga wako.

Ni mjinga kwa sababu huelewi ninachokueleza na hujabadilisha ujinga wako.
 
Mimi nimepractice atheism kwa miaka 2, nimeishi nao 24/7 katika kipindi chote hicho kwahiyo nilipoweka hii mada niliweka kwa maana kamili
Wewe huja practice atheism.

Wewe umekimbia njaa kwenu kwenda kuishi na Buddhists South Africa kwa hila. Ulikuwa huna uwezo wa kutoka Tanzania ukaona hiyo ndiyo njia yako.

Atheism si dini useme "nimekaa nao".
 
haya yapo tu popote pale tubaki na msingi wa mada...usidhani chagizo kama hizo zitanitoa kwenye mstari
 
View attachment 395344

kwenye ulimwengu wa vipimo kuna ujazo mbalimbali kama robo nusu na kitu kamili nk.. nusu mbili hutengeneza kitu kamili robo mbili hutengeneza nusu.

Kuna kamchezo ukimtuma mtu asiye mwaminifu akuletee kitu kinachohusika na vipimo kupiga bao! Ukimtuma kilo moja yeye ataleta nusu na robo.

Duniani tuna imani mbalimbali kuanzia zinazoabudu Mungu mmoja,miungu vitu vinavyoonekana hata masanamu kwenye hizi imani kuna mitifuano na mikanganyiko mingi tuu..lakini kiboko ya imani zote ni hii isiyomwamini Mungu mmoja

Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja

Hii ni imani isiyotimia isiyojua dhima yake mwanzo wake wala muktadha wa nini inasimamia

Ni imani chongo yenye kengeza barobaro...ikiamini isichokiamini..ikifuata isichokijua

Je atheism ni;
Kuabudu miungu?
Kuabudu shetani?
Kuabudu masanamu?
Kuabudu vitu ?
Ama kutoabudu chochote?

Kila imani ina maelezo fulani kwenye chochote na kila swali lina jibu lake tusiiweke sayansi kwenye kundi la imani..hili ni Somo kama masomo mengine

Kutoamini chochote ni mkanganyiko tu wa akili kwakuwa mwisho wa siku utajikuta unaangukia kwenye imani yoyote japo kwa kificho na imani ya kutoamini chochote ni imani isiyotimia
Ah! Mshana bana! We ushaambiwa wao hawaamini mambo ya Mungu, sasa wewe unawauliza eti Roho! Watakuukiza wewe sasa, maana hayo mambo ya kusadikika ndio hawataki.
 
Ah! Mshana bana! We ushaambiwa wao hawaamini mambo ya Mungu, sasa wewe unawauliza eti Roho! Watakuukiza wewe sasa, maana hayo mambo ya kusadikika ndio hawataki.
Lakini hata wao hawajui wanasimamia nini
 
Nijibu kipara na dini?ufafanuzi mwingine utakuja baadae
Kwani Imani ni lazima iwe dini?

Tukija kwenye dini. Ukifanya Imani za dini ziwe kama mitindo ya kusuka nywele, atheist ni mtu anayeikataa mitindo yote ya kusuka nywele na kunyoa kipara

Unaweza kusema huyu mtu anayekataa kusuka nywele na kunyoa kipara kipara chake ni aina ya kusuka nywele?

Ukisema Atheism ni imani ya kidini ni sawa na kusema Flaviana kasuka nywele hapa.

22de081c758a1ca50b626fb31f73308f.jpg
 
Back
Top Bottom