Athari za ukatili zinavyowatesa walimu

Unataka nikujibu ili iweje?
Unaona unaruka swali means huwezi kukubali kutandikwa bakora mbele ya mke na watoto wako.
Ila uko tayari kuona wazazi wa wenzako wakidharirishwa hiyo ni dalili ya ubinafsi.

Nataka ujibu ili nijue kama utakubali kutandikwa bakora mbele ya mke na watoto wako.

Nijibu sasa.
 
Suala la mke na watoto wangu limeingiaje humu Pimbi wewe?
Mimi nimetoa maoni yangu,
Nawe toa ya kwako pasi kuleta upimbi wa kushurutishana kujibu maswali ya kinafki.
 
Unaonekana bado kivulana
Hapana ila najua umeangalia id name na id age.

Still ulichoandika hakibadirishi ukweli kwamba ulichokiandika ni opinion yako.

Personal opinions and perspective kwamwe zitabaki kuwa fallacy means kamwe haziwezi kuwa fact.
 
Suala la mke na watoto wangu limeingiaje humu Pimbi wewe?
Mimi nimetoa maoni yangu,
Nawe toa ya kwako pasi kuleta upimbi wa kushurutishana kujibu maswali ya kinafki.
That's good now unaanza kuhisi au kusikia maumivu ambayo wengine walihisi pale ulipoandika kwamba na wazazi wa wengine watandikwe bakora.

That's why umeenda mbali mpaka kuniattack personally which means unajiexpose tabia na akili yako ilivyo na jinsi inavyofanya kazi that's means umeanza kuwa emotional.
Well ilibidi ufikirie hilo kabla hujaandika zile nonsense unadhani why mimi sijakutukana kabla?

Au ulidhani hao wazazi unaowaongelea ni ng'ombe na sio binadamu wenye emotions kama zako pia na familia na watoto?

Wewe hutaki kutandikwa bakora ila wengine unataka watandikwe bakora primitive and selfish thinking.
 

Hapo kuna jambo hujaliona ,hao watu wana kipato zaidi ya mwalimu,maisha mazuri hawana kwa sababu ya namna wanavyotumia kipato chao na sio tu maisha yao yanafanana
 
Ukiona mwalimu anakimbilia kuchapa wanafunzi ujue kichwani mweupe hajui chochote.Ukali ndo kama defense yake.

Halafu walimu wakati mwingine wanabananishwa na wanafunzi wanakula kipigo mtaani hadi wanatia huruma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubarikiwe maadam. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kama tumewaelimisha hadi mkaelimika na kugundua sie ni mambumbumbu basi mission accomplished. Na mkawe na mafanikio zaidi, hilo ndilo tunawaombea, walaa hatuwatakii mabaya.
Unajibu kwa hekima mno, japo unaowajibu wanaudhi.
 
Nawashukuru walimu wangu wote walionifundisha na hata wasionifundisha cha kuwapa km fadhila sina,

Ila nawatakia kheri, baraka, fanaka na mafanikio tele, kwa uwezo wa JAH yakatimie Yale yote walioshindwa kuyatimiza ili wapate kuushuhudia ukuu wa muumba mbingu na vitu vyote.

Hongereni sana walimu kazi yenu ni kubwa na nzito mno, kuweni na moyo wa ujasiri na uvumilivu. JAH awalinde na awasimamie.
 
Ulitaka kipindi upo shule udekezwe na ulelewe kama yai la kuvunjika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa ya watanzania ni vilaza, vilaza ni watu wenye sifa pia ya kutojitambua wala kufikiria kabla ya kunena.
Sishangai kuona wengi humu wanawesema vibaya walimu isipo kuwa wachache makini tukiendelea kushukuru fadhira za walimu wetu kwa hata haya maarifa tuliyonayo.
Kilaza wewe ambaye baba yako na mamako awajasoma hata chekechea leo unawaona walimu wapuuzi ambao wamekuwezesha kuandika hayo unayoandika, bila mwalimu unafikiri hao vilaza wenzio wazazi wako wangekufundisha nini?
Tujifunze kushukuru hata kwa kidogo tunacho pewa badala ya kuwaza kuhukumu kila jambo matako yako wewe.
 
Well said
 
We jinasibu kuwashinda maisha akati aliyekupa ndio kawanyima wao. Sasa subir nashobo dundo zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…