vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Kumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo
1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano misiban,harusini,kwenye mwenge na ktk mikusanyiko ya aina yoyote
2.Vitendo na kesi za ubakaji na ulawiti zitaongezeka maana machangudoa walikuwa wakisaidia sana ktk eneo hilo
3.Kuna wanaume tutawapoteza kabisa ktk ufalme wa kiume maana Angalau uwepo wa wanawake ulikuwa ni kificho na mahali sahii kujipoza sasa watapozwa
4.Nyumba ambazo hazijaisha maarufu kama mapagala yanakwenda kuwa sio maeneo salama kwa watoto wetu
5.Kipato na biashara za wajasiliamar kadha wa kadha kama wapika. Vyakula,boda boda,hata wauzaji wa huduma zingine watapoteza kipato
6.Tutarajie kuongezeka kwa migogoro ya kifamilia kwa wanandoa kwakua machangudoa walikuwa kama kipozeo cha Magogoro hiyo
7.Ongezeko LA maambukizi ya ukimwi nalo linatuhusu