Athari za kiuchumi zaanza kujitokeza Arusha

emalau

JF-Expert Member
Apr 25, 2009
2,775
3,101
Kutokana na machafuko yaliyotokea Arusha athari za kiuchumi zimeanza kujitokeza, katika habari zinatonya kwamba baadhi ya wageni wameanza kukatisha safari zao. Katika zunguka yangu leo asubuhi hoteli nyingi zimekutwa mabegi ya wageni yako nje ya hoteli wakijiandaa kuondoka. Jana jioni moja ya bomu lilitua katika hoteli ya SG iliyoko maeneo ya sakina wakati wageni wanaingia, bomu hilo liliunguza upande wa gari wageni wakishuhudia.

Kumbuka pia jana kuna mkutano wa East Africa ulikuwa unaendelea katika hotel ya Naura spring.

Wanasiasa wetu wanataka kutawala nchi lakini hawana uwezo wa kutathmini athari za maamuzi yao. Sasa tumeanza kuona cha moto. Watanzania tulichagua watu amabao ni mediocre kutuongoza, viongozi tulio nao hawawezi kufikiri strategically as a result wanakurupuka wanafanya maamuzi ya kijinga nchi inaathirika.

Nimeanza kukubaliana na mbunge wa kigoma David Kafulila siku moja bungeni alisema kwamba viongozi wengi tulio nao hawawezi kufikiria nje ya wao na familia zao.

Nawakilisha
 
Halafu mtu anajinasibu ni Econ1. Mchumi gani asiyejua ukipiga mabomu Arusha unakimbiza watalii? Nape sawa hawezi kujua kutokana na masters yake ambayo inaanza na Div. 4:32pts.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mbeya huwa tunafunga njia kuu ya kwenda Tunduma eneo la Mwanjelwa na kuchoma malori yote ya mafuta yanayoenda nje ya nchi kupitia Tunduma ndo maana wanatuogopa sna
 
Wataenda kwa majiran kenya, tena hilo litawapunguzia hasira ya Obama kutoenda watembelea wakati ana genepool za huko
 
Kutokana na machafuko yaliyotokea Arusha athari za kiuchumi zimeanza kujitokeza, katika habari zinatonya kwamba baadhi ya wageni wameanza kukatisha safari zao. Katika zunguka yangu leo asubuhi hoteli nyingi zimekutwa mabegi ya wageni yako nje ya hoteli wakijiandaa kuondoka. Jana jioni moja ya bomu lilitua katika hoteli ya SG iliyoko maeneo ya sakina wakati wageni wanaingia, bomu hilo liliunguza upande wa gari wageni wakishuhudia.

Kumbuka pia jana kuna mkutano wa East Africa ulikuwa unaendelea katika hotel ya Naura spring.

Wanasiasa wetu wanataka kutawala nchi lakini hawana uwezo wa kutathmini athari za maamuzi yao. Sasa tumeanza kuona cha moto. Watanzania tulichagua watu amabao ni mediocre kutuongoza, viongozi tulio nao hawawezi kufikiri strategically as a result wanakurupuka wanafanya maamuzi ya kijinga nchi inaathirika.

Nimeanza kukubaliana na mbunge wa kigoma David Kafulila siku moja bungeni alisema kwamba viongozi wengi tulio nao hawawezi kufikiria nje ya wao na familia zao.

Nawakilisha​

Hali ni mbaya arusha akna mbowe,lema na ndesamburo wakafanyie maandamano na vurugu moshi kuna maeneo mengi ya wazi au kwenye garden za hoteli zao za protea na keys hotel si kutuletea upuuz wa vurugu arusha kila sku tumechokaa polis wafanye kaz yao hatuwez kuyumba kiuchum kwa sababu ya wajnga wanaotafta pesa mosh na kuharbu utalii arusha wajnga sana

kwenye hii thread huwez kuwaona kna mungi,arusha one,mwta maranya ,mwanakijiji na wapga debe wengne wa cdm wao wnataka vurugu ili washabikie bla kujua impact hakukuwa na ulazma wa kwenda kuaga miili soweto mbona mazshi yamefanyka bla rally ya soweto w r tyd wt daily demonstration camon mkafanyie hz vurugu moshi
 
Karatu huwa tunafanya KUFUNGA GETI LA NGORONGORO!! ndio maana wanatuogopa​
  • Usdanganye umma haijawah kutokea na haitakaa itokee get lifungwe mtachezea moto chezea AK za askar wa ngorongoro wewe
 
Hali ni mbaya arusha akna mbowe,lema na ndesamburo wakafanyie maandamano na vurugu moshi kuna maeneo mengi ya wazi au kwenye garden za hoteli zao za protea na keys hotel si kutuletea upuuz wa vurugu arusha kila sku tumechokaa polis wafanye kaz yao hatuwez kuyumba kiuchum kwa sababu ya wajnga wanaotafta pesa mosh na kuharbu utalii arusha wajnga sana

kwenye hii thread huwez kuwaona kna mungi,arusha one,mwta maranya ,mwanakijiji na wapga debe wengne wa cdm wao wnataka vurugu ili washabikie bla kujua impact hakukuwa na ulazma wa kwenda kuaga miili soweto mbona mazshi yamefanyka bla rally ya soweto w r tyd wt daily demonstration camon mkafanyie hz vurugu moshi

kachukue posho,kazi umeimaliza.
 
emalau go and tell it to the mountains! Arusha unayoiongelea siyo hii ninayoishi na kufanya biashara hapa. Please behave and speak the truth.

Mpe ujumbe huu pia Emanuel Lawrance.
 
Last edited by a moderator:
Chadema wameamua kuuhujumu mkoa wa arusha tena kipindi hichi cha msimu wa utalii wa utalii ( high season ). Hizi njama za wazi kabisa. Lakini siku zao zinahesabika.
 
Back
Top Bottom