MSAVANGWA EMMANUELY
Member
- Aug 22, 2014
- 21
- 7
Habari Wakuu nina mdogo wangu anataka kufanya class review ya ATEC II, kwa Dar Es Salaam ni centre ipi itakuwa poa kwake kati ya Covenant na cornerstone?
OK,Ahsante mkuu...Ila kama darasani ni Centre gani itamfaa?Level ya Technician hata akifanya review nyumbani hakuna tatizo.