ATCL mbona kama delays zimezidi sana

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
3,168
5,680
Wiki hii kumekuwa na delays nyingi sana za ndege za ATCL.hii inasabibsha usumbufu sana sana.
Ushari wa bure,kama una ticket ya ATCL,Saa ya kuondoka haina uhakika.Yaani ni kama treni ya kwenda kigoma hiv.

Halafu communication ni poor hiv


UPDATES.
Tumetoka Dar leo saa 11:30 jioni kuelekea Mwanza Via kia.kufika KIA ikawa inazingua kushuka.imezunguka mara kadhaa angani.hatimaye ikatua majira ya saa moja jioni.tumeshushwa wote kwamba ndege mbovu.Hatujapata any updates mpaka sasa.sasa hapa kuna wazee na wengine wana watoto.hakuna msaada wowote wala hakuna taarifa yoyote kutoka kwa yeyote.
 
Shida nini ATCL ? Soon itabinafsishwa namuona RA anapiga jaramba na Coastal.Aviation subiri tu muda utaongea
 
serikali isiyotaka kufungua fursa kampuni nyingi zifanye.safari za ndani.
kuna siku kati ya mashirika haya mawili ndege itaanguka ndio akili ziwe sawa.acha ya bukoba
 
Ndege za Tz hazina uhakika kabisa,kuna siku nilikua nasafiri na Precision ikaahirishwa mara 2,kutoka saa 10 mpaka sa a 3,saa 3 hadi saa 5.Huwa najiulizaga sana wanaopanda from KIA kufanya connection kwenda nchi nyingine inakuwaje?
 
Ndege za Tz hazina uhakika kabisa,kuna siku nilikua nasafiri na Precision ikaahirishwa mara 2,kutoka saa 10 mpaka sa a 3,saa 3 hadi saa 5.Huwa najiulizaga sana wanaopanda from KIA kufanya connection kwenda nchi nyingine inakuwaje?
Kitu nilichokiona leo kama mtu una connection ya KIA,kwenda international na unategemea kutumia local flight kuja hapa KIA bora upande Dar express ya Arusha siku kabla utokee arusha.maana kwa nilichokiona leo uko likely kuaachwa ndege.
 
Ukiangalia kwa makini routes wanazodelay ni za Kilimanjaro hasa..

Angalia leo ndege ya saa 5 asubuhi inaondoka Dar saa 9 (wamechelewa saa 4)

ATCL routes zinazohusu Kilimanjaro imekuwa too much...
Kwa mwaka huu route hii imesha niharibia mipango zaidi ya mara 6
 
Hapo bado yanataka tuanze kukabwa na wateja baada ya ndege yao ya mizigo itakapoaanza kua na delay ndogo ndogo.

Watuonee huruma
 
Jana rais Samia wakati akipokea ndege tulioneshwa rubani mswahili tena wa kike. Nikajisemea moyoyni kuwa "tumepigwa".

Ukienda mawidini kuna wanawake kibao lkn ndiko kunaongoza kwa ubabaishaji na uchekeweshaji wa huduma kwa wagonjwa. Mtu anachat badala ya kuhudumia wagonjwa. Lugha zao ni kali na hazina staha
.
Sasa ndicho kilichohamia kwenye ndege za ATCL. Punguzeni wanawake.
 
Waafrika bado wana Epidomia na watanzania ndio balaa.

Mtanzania hawezi fanya serious business!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom