ATCL launches website to improve flight services

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
329
The national flag carrier, Air Tanzania Company Ltd (ATCL), yesterday launched its website with a view to improving communication with customers and enable people access booking, flight schedules and related information easily.
Speaking at the launch of the website in Dar es Salaam yesterday, ATCL Acting Director Paul Chizi said the website was a way forward for the firm’s daily work, which would enable it to work effectively.
Chizi said through the website, customers would be able to make bookings for their trips, while outside the country without forced to meet the firm’s agents in acquiring tickets.
He also noted that, customers and citizens would have an opportunity to give their views on the services given by the company and ask questions.
Meanwhile, Chizi has noted that ATCL services are expected to resume soon by the end of next month and would start with trips from Dar es Salaam, Mwanza and Kilimanjaro.
“We are waiting for Tanzania Civil Aviation Association (TCAA) to allow us to go to Egypt and inspect a new flight,” he said.
Flight DASH-8, which was undergoing maintenance at the ATCL workshop, is expected to be completed in 6-8 weeks’ time.
He said ATCL would continue taking into account timekeeping and better services to meet customer expectations.
“We have been providing services to many customers during this time and they have been asking, when we will resume our flights. I assure you that we are organising ourselves to serve them better,” Chizi said.



SOURCE: THE GUARDIAN

 
Aiseee tz hakuishi vituko,ku-improve customer's services ni zipi? Ndege yenyewe hakuna wala nini wizi mtupu usikute hyo web wametumia mil100.
 
hivi walikuwa hawa website! hahahahahahaha... bongo bana!
 
customer?
mawasiliano na customer?
kwa ndege ipi waliyo nayo ambayo wanaweza pata wateja wa kutumia huduma zao
Au kwenye hiyo web wanasema wanatoa huduma gani
Na miaka yote hawana website
 
  • Thanks
Reactions: FJM
unafanya booking online ya kitu gani sasa,maana hawana ndege hata moja,ama kwenda kuona uwanja na office zao
 
uyo chizi vitendo vyake vya kichizi chizi,service gani wanayotoa pamoja na kuwa na wafanyakaz 200 ATCL
 
Nimecheka sana kusikia ndiyo wanafungua web leo.....jana wamekuja na news ya safari za ndege kuanza Mwanza na Kilimanjaro....and to them is a big success.....anyway, baada ya kuzitafuna zote na nyingine kuuza scrapper sio hatua mbaya kuanzia.......

Hapa naunganisha na mada moja humu ndani ya JK vs Kagame....wakati yeye na Serikali ya Chama chake wanawaza routes za Kilimanjaro na Mwanza Kagame na RwandAir yake wanaanza routes za kwenda Mashariki ya Mbali....Mara kadhaa nasafiri kwenda Rwanda kwa kazi na kwa ule moyo wa uzalendo natamani kama ningekuwa safari hizi nakwenda na shirika la ndege la nyumbani (wanachoambalia ni vidola kadhaa vya ushuru airport nyingine faida serikali ya Kigali).........Oooh, My Dear Tz......
 
madudu ya air Tanzania yanatia kichefuchefu. Wanajamii, niliona tambo za MD aliyepita katika 'je tutafika ch 10' wakati ameteuliwa na JK kushika shirika. Yeyote aliyebahatika kuona mahojiano hayo anisaidie kueleza. Jamaa alipewa bilioni kadhaa. Akatamba jinsi ATCL itakovyo ongoza kwa teknolojia africa mashariki kwa online check in na upuuzi mwingi.(tumuombe makwaia arudie kipindi hicho wengine mtatapika). Matokeo yake yupo mahakamani na hakuna hata ndege . Leo na huyu anakuja a story zilezile. Afadhali yake hana ndege hata moja, ila website itagharimu mabilioni ili waishi. Watumbue hala ya wa Tanzania ila wajue yote yana mwisho.
 
Wafanyakazi 200 wakati shirika halina ndege wana kazi nyingine gani ya kufanya zaidi ya kuzindua website? Na hiyo website inafunguliwa mara ngapi? maana walishapiga kelele sana wakati ule wa Mattaka!
 
halafu hiyo website wataikodosha kwa shirika lipi la ndege!!nijuacho mimi baada ya vile vindege vyetu viwili kupata ajali hatuna tena ndege!!!
 
Aiseee tz hakuishi vituko,ku-improve customer's services ni zipi? Ndege yenyewe hakuna wala nini wizi mtupu usikute hyo web wametumia mil100.
@King Kong 111 kwa hiyo Tanzania hakuna hata ndege za ndani ya nchi? Ama kweli Tanzania imeoza hakuna hata viongozi wa ukweli nchi imejaa viongozi Mafisadi wala rushwa. Mwenyeezi Mungu iokowe nchi yetu jamani.
 
Website yake ni hii hapa Wizi mtupu hebu angalieni.

Air Tanzania :: Flights from Dar es Salaam, Kilimanjaro, Zanzibar.









YOU ARE HERE: HOME


Latest News:PREVIOUSNext























Welcome To Air Tanzania Website

Air Tanzania is the national airline of Tanzania, with its head office in Dar es Salaam. Its main base is Julius Nyerere International Airport (JNIA) and it flies all over across many destinations across Tanzania.



Follow Us On:










  • BOOK FLIGHTS
  • SCHEDULES, DESTINATIONS & TARIFFS



DestinationsFrequencyFare USD
KigomaDailyComing Soon
TaboraDailyComing Soon
Mwanza - directTwice dailyComing Soon
BukobaMon, Wed, Fri, SunComing Soon
ArushaDailyComing Soon
KilimanjaroDailyComing Soon
ZanzibarMon, Wed, Fri, SunComing Soon










SUBSCRIBE TO OUR NEWSLETTER








[COLOR=#383DD1 !important]LATEST ATCL NEWS





banner001%20-%20Copy.jpg

banner002.jpg




[COLOR=#383DD1 !important]QUICK LINKS







[/COLOR]

[/COLOR]



Copyright © 2012 Air Tanzania :: Flights from Dar es Salaam, Kilimanjaro, Zanzibar.. All Rights Reserved.
Air Tanzania

 
Aibu zingine bora wawe wanaficha. Hivi hawaoni shirika la ndege lenye umri wa miaka 35 kuanzisha 2012 ni kama kujipaka kinyesi usoni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom