ATCL imeajiri Marubani 106

ATCL imeajiri Marubani 106

Watawala wanapanda ndege bure, CCM wote wanapanda ndege hizi bure. Faida itapatikana lini na itoke wapi?
 
Shirika la ndege ATCL lenye ndege 11 za kukodi kutoka TGFA limeajiri marubani 106

95 wanaume
11 wanawake

1 Si Mtanzania
105 Watanzania

NB: Hili shirika haliwezi pata faida sababu lina wafanyakazi wengi kuliko ndege zao. Mashirika mengi huweka ratio ya 4 kwa Ndege. Wao wameweka 10 kwa ndege.

Kuna marubani hewa wengi sana.

Kama marubani ni wengi hivyo, vipi kuhusu wahudumu, si watafika 500?
Hivi unajua soko la ndege wewe? Unajua kwamba ukiwa na ndege 1 unatakiwa kuwa na marubani watano. Marubani wanafanyakazi kwa maasa na haina kupindisha, akifika masaa yake kadhaa kwa wiki anaacha kuruka sasa ujichanganye upoteze leseni yako ya ndege kimataifa.Unaona magari yanadovondoka sababu madereva wanalala
Uchovu kwenye urubani hamna hio janja janja, wenzako wanafanya kazi siku 3 kwa wiki kwahiyo ndege moja marubani watano tena ukifikiria ni kampuni ya serikali ili kusiwe na delay wanaweka marubani 8 sasa air tanzania wana ndege 16. 16 x 8 ni 128, infact hapo walioajiri ni wachache. Ethiopian airways wana ndege 137 wana marubani 17,000! Yani kila ndege ina marubani 12, hawataki shida kabisa na mtu sasa weee endelea kudhani ndege ni kimbinyiko ndege moja dereva mmoja
 
Kuna watu wanapenda kulalamika tu hovyo hovyo ubwa kabisa
 
Back
Top Bottom