ATCL imeajiri Marubani 106

ATCL imeajiri Marubani 106

Shirika la ndege ATCL lenye ndege 11 za kukodi kutoka TGFA limeajiri marubani 106

95 wanaume
11 wanawake

1 Si Mtanzania
105 Watanzania

NB: Hili shirika haliwezi pata faida sababu lina wafanyakazi wengi kuliko ndege zao.
Mashirika mengi huweka ratio ya 4 kwa Ndege
Wao wameweka 10 kwa ndege.

Kuna marubani hewa wengi sana

Kama marubani ni wengi hivyo, vipi kuhusu wahudumu, si watafika 500?
Mkuu unajua sheria za aviation kuhusu masaa na idadi ya marubani?
Mfano Airbus moja ya dar-mumbai-dar. Itatoka tz na marubani wawili,ikifika Mumbai watabaki pale itarudi na wengine wawili na ikipaa tena kwenda Mumbai itaenda na wengine wapya wawili, wale walioachwa watarudi nayo
Mpaka hapo ndege moja ni marubani wangapi? Haya airbus ingine na ingine je?
Dreamlike ya dar-guanzhou-dar itaemda na wawili au zaidi kwasababu ya umbali, watabaki kule itarudi na crew ingine ambayo itabaki dar then waliokuwa kule watarudi nayo mzunguko utaendele, mpaka hapo ni wangapi?
Kuna bombardier zinazunguka hapa nchino,kuna airbus zinazunguka hapa east Africa. Mind you rubani wa dreamliner ni dreamliner tu,airbus no airbus tu na bombardier ni bombardier tu.
 
Sasa Kama ndio hivyo hii biashara serikali inaiweza kweli? Kwani cost-benefit analysis inaonyesha ni mradi mzuri kweli?
 
Ni maoni yangu ili kuepuka hasara,hizo ndege mara nyingi huwa mbovu au zimepakiwa tu, akiwa rubani wa jeshi halipwi mshahara na shirika, jeshini wapo marubani wa kuendesha hizo ndege wengi sana

Mfano Rubani wa Nyerere alikuwa askari wa jwtz,nadhani hata wa Samia
Ni kweli jeshi la wananchi marubani ndio pekee wangeokoa jahazi. La sivyo laana inabisha hodi mlangoni. Nchi ikiwa ivyo ni laana. Ajira za marubani 5 pekee zinatosha kabisa kuajiri na kulipa vijana unemployed wenye degrii 40
 
Duuh, hapa ndio suala magufuli alikuwa anapinga, hapo mtu hata hajawahi kufanya kazi ila analipea mshahara tu, halafu unamaanisha nini za kukodi, tulizonujua zipo wapi?
ATCL inakodi ndege kutoka kwa wakala wa serikali TGFA ambao ndio wamekabidhiwa ndege
 
Hiyo ndio serikali ya CCM ambayo imeapa kutopisha mtu kwenye kisima cha asali 😁😀
 
Shirika la ndege ATCL lenye ndege 11 za kukodi kutoka TGFA limeajiri marubani 106

95 wanaume
11 wanawake

1 Si Mtanzania
105 Watanzania

NB: Hili shirika haliwezi pata faida sababu lina wafanyakazi wengi kuliko ndege zao.
Mashirika mengi huweka ratio ya 4 kwa Ndege
Wao wameweka 10 kwa ndege.

Kuna marubani hewa wengi sana

Kama marubani ni wengi hivyo, vipi kuhusu wahudumu, si watafika 500?
Chanzo cha taarifa yako, tafadhali, ikiwezekana, ambatanisha.
 
Duuh, hapa ndio suala magufuli alikuwa anapinga, hapo mtu hata hajawahi kufanya kazi ila analipea mshahara tu, halafu unamaanisha nini za kukodi, tulizonujua zipo wapi?
Alipinga kivp wakati huyu ndio alifanya nchi iwe ya hovyo sana
 
Nchi tamu sana hii ukiipatia haswa ukipata kamrija wa gridi ya taifa ya asali na maziwa
 
Alafu ukisikia neno rubani unajua boonge la mtu. Kumbe ni dereva tu msafirisha abiria.
 
Shirika la ndege ATCL lenye ndege 11 za kukodi kutoka TGFA limeajiri marubani 106

95 wanaume
11 wanawake

1 Si Mtanzania
105 Watanzania

NB: Hili shirika haliwezi pata faida sababu lina wafanyakazi wengi kuliko ndege zao. Mashirika mengi huweka ratio ya 4 kwa Ndege. Wao wameweka 10 kwa ndege.

Kuna marubani hewa wengi sana.

Kama marubani ni wengi hivyo, vipi kuhusu wahudumu, si watafika 500?
Hili jambo inatakiwa wataalam wa anga ndio watufahamishe, maana kwa ninavyo fahamu marubani huwa wanapewa mapumziko hata week nzima inategemea na masaa aliyokua angani, marubani wanatakiwa akiwa kazini awe yupo vizuri kiafya na awe amepumzika vya kutosha
 
Haya ni yao cha msingi wasije kutundondosha tu.
 
Back
Top Bottom