ATCL imeajiri Marubani 106

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Shirika la ndege ATCL lenye ndege 11 za kukodi kutoka TGFA limeajiri marubani 106

95 wanaume
11 wanawake

1 Si Mtanzania
105 Watanzania

NB: Hili shirika haliwezi pata faida sababu lina wafanyakazi wengi kuliko ndege zao. Mashirika mengi huweka ratio ya 4 kwa Ndege. Wao wameweka 10 kwa ndege.

Kuna marubani hewa wengi sana.

Kama marubani ni wengi hivyo, vipi kuhusu wahudumu, si watafika 500?
 
Huu ndio unaitwa utopolo wa Kiwango cha 5G. Kwa kweli kama kuna mtanzania atakufa kisa shida na ufukara, njaa dhiki kwa uzembe na upotevu wa fedha za umma.

Mamlaka husika ijiandae. Damu za waTanzania hazimwakikagi ovyo.[emoji4][emoji560][emoji700]
 
Kwa ndege 11 wangekuwa na marubani hata nane,kwanza mara nyingi zipo chini, ili kubana matumizi wawe na rubani hata 5 na
Why tuwe na marubani wanajeshi?,au kuna kitu binafsi sijakiona ya kuwa na marubani wa jeshi, na pia kila aina ya ndege lazima ufanye mafunzo yake ili upate license yake
 
Why tuwe na marubani wanajeshi?,au kuna kitu binafsi sijakiona ya kuwa na marubani wa jeshi, na pia kila aina ya ndege lazima ufanye mafunzo yake ili upate license yake
Ni maoni yangu ili kuepuka hasara,hizo ndege mara nyingi huwa mbovu au zimepakiwa tu, akiwa rubani wa jeshi halipwi mshahara na shirika, jeshini wapo marubani wa kuendesha hizo ndege wengi sana

Mfano Rubani wa Nyerere alikuwa askari wa jwtz,nadhani hata wa Samia
 
Duuh, hapa ndio suala magufuli alikuwa anapinga, hapo mtu hata hajawahi kufanya kazi ila analipea mshahara tu, halafu unamaanisha nini za kukodi, tulizonujua zipo wapi?
ATCL haimiliki ndege, sababu ina madeni makubwa, hivyo Serikali kupitia wakala wa ndege za serikali ndiye anamkodishia ATCL.
 
Kwa ndege 11 wangekuwa na marubani hata nane,kwanza mara nyingi zipo chini, ili kubana matumizi wawe na rubani hata 5 na watatu wawe wa jeshi
Ndo leo nimeshangaa bungeni Naibu Waziri kaulizwa akajibu hivyo.

Ila kwa uhalisia marubani wengi ni wafanyakazi hewa.

Fastjet walikuwa na marubani 4 tu
 
Mfano kuna Airbus zimesimama kufanya kazi sababu ya alert kutoka Airbus ila hawajapunguza wafanyakazi.

Kwa sasa ATCL ina ndege zifanyazo kazi 5 pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…