Kimbunga huyu jamaa kafanya sana ufisadi ATCL halafu dada zetu wafanyakazi wa kwenye ndege wanamjua vizuri sana.
bora wazanzibar wajiteneg ni aibu kubwa kuwa na muungano na watu wa aina hii
Hivi Blue, Njano, Kijani zilizo katika Bendera yetu hazina dili eeeh?
Mmmh! Mbona zimekaa kihoteli hoteli zaidi??[/sQUOTE]
kwenye ndege si wanauza chakula, vinywaji na unweza kulala kwenye kiti.
Huyo bwana anaetetea doller 50,000. Embu tumsaidie kwanza kimahesabu
50,000 *1600 =80,000,000 (Wasiojua ni Million themanini)
Waliokaa huko siku 45 wawili @250 USD
250USD*45*2=USD22,500. USD hizi ni sawa na 22,500*1600=36,000,00o yaani Million thelathini na sita. Divide by 2 unapata kila mmoja aliondoka na million 18,000. OK
Million 80,000-36,000=44,000,000.
Katika watu wawili walipata discount ya USD478 kila mmoja.
So USD478 *2=USD956. Approximately USD1000 sawa na Tsh1,600,000.
Milioni 44- Milliono1.6 = Millioni42.4. Tufanye Million 42.
Sasa basi na akili yako wewe unaetetea hili!
Chukua Tsh42,000,000/17=Tsh2,470,588 each uniform.
Ok toa Tsh470,000 kwa kila mtu peleka kwa dalali alietoa hilo dili usiulize wapi.
So, Tsh470,000*17=Tsh7,990,000. Hizi za udalali.
Sasa nchi gani inatengeneza nguo kwa million Tsh2? Ukiacha kwenu sumbawanga?
Pdidy na CHUAKACHARAAhasante kwa kukokotoa hayo mahesabu, maana watu wengine mpaka uwawekee kinywani. Hata common sense ina-dictate extravagant use of public funds
Hiyo haitoshi, walipelekwa maofisa wawili eti kuzisimamia zishonwe. wacha Chisi afukuzwe, jizi kubwa
Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
Bw Chizi alikodisha ndege ya bilioni 80 kwa zaidi ya bilioni 270, ameshonesha unifom kwa bilioni zaidi ya 78. Halafu kuna watu wanamtetea aendelee kuwepo ATCL
Bw Chizi alikodisha ndege ya bilioni 80 kwa zaidi ya bilioni 270, ameshonesha unifom kwa bilioni zaidi ya 78. Halafu kuna watu wanamtetea aendelee kuwepo ATCL
Halafu kuna mtu hapa anauliza kwenye mabango kesho aandike nini!!!
Wote hao wanatakiwa wawe kwenye admnistrative post, kazi ambazo si za kukutana na wateja kila wakati! Wawaachie vijana zaidi lakini kwa vile mambo kujuana, basi shida tupu!!huyu wa sita toka kushoto mbona mbibi...hayafika kweli muda wa kustaafu huyo?khaaa