ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,361
- 41,156
Ila D 🤣🤣🤣 bado unataka kudekaBasi nadhani wakati umeniache😭 Bado naamini true love ipo Ila uwe smart upstairs na mfukoni kunenepeane😂
Ukiwa na hiki kipawa lazima uwe na maadui wengi.lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji
True love ni nadharia tu haipo, hata Mungu anatupenda ILA tusipomwabudu atatuchoma moto. Wewe kama unapenda kweli bila conditions hongera!!Hata mke wako huna true love nae we mzee😀😀 kasheshe
Mbona nakupenda wewe na unajua babu yangu😊😅True love ni nadharia tu haipo, hata Mungu anatupenda ILA tusipomwabudu atatuchoma moto. Wewe kama unapenda kweli bila conditions hongera!!
Hiyo ni nadharia, ukiangalia ukweli haupo hata kama unasema😅Mbona nakupenda wewe na unajua babu yangu😊😅
Saiz wanatumia code hiiKupenda ni sanaa
Kupenda ni hisia
Kupenda ni pepo, lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji.
Usitafute tu nafasi kwenye macho yake,
tafuta mizizi kwenye fikra zake.
Mfanye akukumbuke sio kwa sababu upo karibu,
bali kwa sababu ladha ya uwepo wako haipatikani kwingine kote.
Mnusanishe harufu ya upendo wa dhati,
mtazame kwa macho yanayosoma siri za nafsi yake,
na mpe tabasamu litakalobaki kama picha isiyofutika akilini mwake.
Ukigusa hisia zake kwa usahihi, hatatamani tu kuwa na wewe—atafanya kila uwezalo kuwa wako.
kashesheHiyo ni nadharia, ukiangalia ukweli haupo hata kama unasema😅
Shee nitumie ya kvant🤣
🤣🤣🤣🤣 shindwaaaa!Huyo na dogo lake dugu moja🙌🏿🙌🏿🏃🏿
Mbona mimi nikiingia sitoki?Unajua nini mkuu, everything is affordable saivi, mahusiano yapo so cheap! Ni rahisi kuingia, ni rahisi kutoka, hakuna cha kupoteza, unaanzaje kumpa mtu moyo wako, unataka kuumizwa?
Uliingia wapi huko acha zako!!Mbona mimi nikiingia sitoki?
🤣🤣 si huko anakoingia!Uliingia wapi huko acha zako!!
Ndio maana waliimba... Ooh Rhabi usinipe mapenzi... Na wapendwao hakuna...😃Ukishasema mfukoni kunenepeane😅😅neno triue love liondoe. Love doesn't ask why!
Sema wakati unetuacha, japo binafsi siamini sana kwenye true love, haipo..ni nadharia tu. Love is very conditional!
Yana balaa haya Mbaga Jr atajibia iliHaya mafuta ya nini sasa..!😀View attachment 3653826
Ooooh!Wapooo! daughter wangu mmojawapo
..