Shee hebu amka.Kupenda ni sanaa
Kupenda ni hisia
Kupenda ni pepo, lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji.
Usitafute tu nafasi kwenye macho yake,
tafuta mizizi kwenye fikra zake.
Mfanye akukumbuke sio kwa sababu upo karibu,
bali kwa sababu ladha ya uwepo wako haipatikani kwingine kote.
Mnusanishe harufu ya upendo wa dhati,
mtazame kwa macho yanayosoma siri za nafsi yake,
na mpe tabasamu litakalobaki kama picha isiyofutika akilini mwake.
Ukigusa hisia zake kwa usahihi, hatatamani tu kuwa na wewe—atafanya kila uwezalo kuwa wako.
Kwani humu kuna binti sayuni?Kwanini...!
Kwa kweli aamke, naona atajikojolea😅Shee hebu amka.
🤣🤣🤣🤣 na bado!Sijaanguka shee ila dogo lako halinipendi😭😭😭
🤣🤣🤣🤣 tutamuimbia kindumbwe ndumbwe.Kwa kweli aamke, naona atajikojolea😅
Dad moyo wangu wa barafu sitaki mie siwezi heka heka 🥹Wapooo! daughter wangu mmojawapo
..
Unajua nini mkuu, everything is affordable saivi, mahusiano yapo so cheap! Ni rahisi kuingia, ni rahisi kutoka, hakuna cha kupoteza, unaanzaje kumpa mtu moyo wako, unataka kuumizwa?Wapendao wapo na wapendwao pia wapo ila kwa uchache🤔🙇🏿♂😪
Basi nadhani wakati umeniacha😭 Bado naamini true love ipo Ila uwe smart upstairs na mfukoni kunenepeane😂Unajua nini mkuu, everything is affordable saivi, mahusiano yapo so cheap! Ni rahisi kuingia, ni rahisi kutoka, hakuna cha kupoteza, unaanzaje kumpa mtu moyo wako, unataka kuumizwa?
Ukishasema mfukoni kunenepeane😅😅neno triue love liondoe. Love doesn't ask why!Basi nadhani wakati umeniache😭 Bado naamini true love ipo Ila uwe smart upstairs na mfukoni kunenepeane😂
Hata mke wako huna true love nae we mzee😀😀 kashesheUkishasema mfukoni kunenepeane😅😅neno triue love liondoe. Love doesn't ask why!
Sema wakati unetuacha, japo binafsi siamini sana kwenye true love, haipo..ni nadharia tu. Love is very conditional!