Atalainika tu

Yaani mfuko wangu umejaa Benjamin tu halafu natembea huku nimekaa


Sasa mbona amekununia hivyo may be kazi yako haijamridhisha bana umeperform chini ya kiwango
 
Tafuteni japo kwenye kipub muongee huko mnatoa lock, hapo barazani kwa watu noma
 
Huyu mpare anapenda ngono huyu. Kha kutwa kucha yy na post za kimahaba .. Anadumisha mila
 
Hivi siku hizi mademu wanakubali sound peke yake? No, escrow tu inaongea mshana jr.
 
Huyo mbona tayari..unaona kaanza kuvuta nguo ili aone upaja kwa mbaliiii.
 
Mshikaji kawa mdogo kama piritoni kwa ajili ya kipochi manyoya......hapo hata akipigwa kofi anakubali.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…